Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kweli binadamu wana roho mbaya aisee...
Nimeona watu wanakutaza usinywe pombe yan hadi dhambi wanataka kukubania?
Nimeona watu wanakutaza usinywe pombe yan hadi dhambi wanataka kukubania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka abebwe mzima mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787], we muache kwanza astue kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23] Asijaribu.
Za siku tele mkuu???
Aiseee tunasongesha hivyo hivyo.Nzuri mkuu, mambo yanaenda?
Wana Chitchat habari ya mchana
Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners'
Asanteni karibuni sana wana chitchat.
Duh!Anza na Bange Lager kisha utamalizia na Gongo Lager, nina uhakika kwa 'Mseto' huu utakuwa umeshajifunza na kufuzu kabisa kuwa Mlevi Mkuu.
Sio pombe hio ni kama juice tuSawa,
Vipi kuhusu Bavaria?
Red wine. ,sweet,imported ndo nzuri zaidi wanadai ziko stable sio km faru johnWine gani?
Nini kimekuvutia hadi unataka kuanza kulewa?.Hapana
Ha ha ha ha haNini kimekuvutia hadi unataka kuanza kulewa?.
Aiseee tunasongesha hivyo hivyo.
Ulipotea sana jukwaani hapa
Wewe hapo umemvutia unampa presha kijana wa watu, mpaka anaanza kunywa pombe sasaNini kimekuvutia hadi unataka kuanza kulewa?.
An expert... Wewe red inakufaaRed wine. ,sweet,imported ndo nzuri zaidi wanadai ziko stable sio km faru john
Castle Lite.Wana Chitchat habari ya mchana