Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Hahaaa ashindwe mwenyewe...
Dah...inategemea na sababu pamoja na kipato chako....ikiwa ni kutaka kuzungumza kiingereza pata Safari baridiii....kuondoa udomo zege Balimi inafaa sana...kama ni kuongeza CV bia za nje ndiyo zenyewe...Cha msingi ni bajeti yako tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nataka nianze kuvuta bangi...! Pombe imekaa kimama sana
 
Mkuu nakusihi uwe makini na hao utakaokuwa nao wakati wa kunywa pombe,,
Wasije wakakuumiza sehem za siri..
 
Wana Chitchat habari ya mchana

Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners'

Asanteni karibuni sana wana chitchat.
kunywa konyagi, au kitoko kesho utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom