Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
920
Napata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya Africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnolojia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili. Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kwa kujaliwa akili ruksa kutema povu)

Hapa natafuta magenius kama 100 hivi halafu tunaoa wanawake kutoka vijijini wenye akili nyingi kila mtu wanawake hata watu hivi.

Principal ni kuzaa watoto wengi.

Kwa mwaka wa kwanza tutakua tu 300

Wanaume 100
wanawake kila mtu watu-300

Mwaka wa kwanza-mtoto mmoja mmoja jumla watotot 300
Jumla ya watu=100+ 300+300 =700

Baada ya miaka mitano ni kabila kubwa sana la watu wenye akili😂😂😂

Halafu tunaanzisha na utamatuni wetu.

Vipi hii idea
 
inawezekana ila sio kwa hiyo njia ya yako

ingia kwenye siasa na uwe mashuhuri

anzisha falsafa ya kwamba watu wengi afrika hawana akili, kwahiyo tutahitaji wale wachache wenye akili washikilie nafasi za juu kwenye uongozi na taasisi mbalimbali

badilisha mfumo wa elimu uwe unawawezesha wenye miakili tu, fanya mchujo

kama hutakua umeanzisha machafuko mpaka hapo utakuwa umeweza
 
Hilo linakua kabila au nn?
 
Napata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnologia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili.Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kw akujaliwa akiki ruksa kutema povu)

Hapa natafuta magenius kama 100 hivi
Halafu tunaoa wanawake kutoka vijijini wenye akili nyingi kila mtu wanawake hata watu hivi.
Principal ni kuzaa watoto wengii
Kwa mwaka wa kwanza tutakua tu 300

Wanaume 100
wanawake kila mtu watu-300

Mwaka wa kwanza-mtoto mmoja mmoja jumla watotot 300
Jumla ya watu=100+ 300+300
=700
Baada ya miaka mitano ni kabila kubwa sana la watu wenye akili😂😂😂
Afu tunaanzisha na utamatuni wetu.

Vipi hii idea
NA HAKIKISHA KWENYE KIZAZI CHAKO UNAKATAA UMASKNI KWA KUWA MBALI NA CCM.
 
Back
Top Bottom