Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA NI RAHISI ANZISHA MKUUNapata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya Africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnolojia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili. Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kwa kujaliwa akili ruksa kutema povu)
Hapa natafuta magenius kama 100 hivi halafu tunaoa wanawake kutoka vijijini wenye akili nyingi kila mtu wanawake hata watu hivi.
Principal ni kuzaa watoto wengi.
Kwa mwaka wa kwanza tutakua tu 300
Wanaume 100
wanawake kila mtu watu-300
Mwaka wa kwanza-mtoto mmoja mmoja jumla watotot 300
Jumla ya watu=100+ 300+300 =700
Baada ya miaka mitano ni kabila kubwa sana la watu wenye akili😂😂😂
Halafu tunaanzisha na utamatuni wetu.
Vipi hii idea
Si kweli kabila linaunganishwa na tamaduni lugha siyo damu.Kabila lazima muwe damu moja.
Labda wewe ndio uzae watoto wako kisha uwaseti utakavyo alafu baadae ndio liwe kabila.
Huwezi kufanya Watu ambao hamna undugu ati uunde kabila.
Unazungumzia siasa, na hapo ni taifa. Taifa sio lazima muwe damu moja