Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

Idea nzuri sana. Halafu kuna eneo hili hapa ambalo halina mwenyewe, unalifanya himaya yako.


 
Hitler alikuwa sahihi kabisa kufikiria kuwaondoa duniani watu weusi maana mnajijua mataahira hamna akili.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Wengine tayari tupo tunafanyia kazi idea kama hii kitambo sana. Mdogo mdogo tunasogea.

 
hee huu uzi ndo nauona leo
 
hee huu uzi ndo nauona leo
 
Hitler alikuwa sahihi kabisa kufikiria kuwaondoa duniani watu weusi maana mnajijua mataahira hamna akili.
Sawa we mzungu!
Kifupi hitler alikua mpumbavu ndio maana kifo chake kiliendana kabisa na level ya ujinga wake…,
Kila mtu ashinde mechi zake ndo maana kila watu wana ardhi yao na sehemu zao!!…
Ni sawa nawe uone kua nguruwe hawana faida Kwa kuangalia na kujifikiria ww kitu ambacho ni Level ya juu ya ujinga usio na kipimo!!

Aliyepo na hiyo position n Muumba kwaiyo ww unaakili zaidi kuliko aliyeviumba??

Hii level ya ujinga hata shetani Hushangaa
 
KUMBUKA Mungu alitoa onyo Kali kwamba USI TENGENESE WALA KUONGESA CHOCHOTE KWA YALE ALIOUMBA !!!??????!!!!!!!!???????TAFAKARIII??????????!!!!!!!!!!!
Makabila yalianzishwa
Taifa kama la israel lilianzia kwa yakobo
nadhan unaongea kitu usichokielewa
 
Mimi natamani hii nchi ingeuzwa tu kwa wenye uhitaji. Halafu pesa itakayopatikana tugawane sawa! Na baada ya hapo kila mtu aangalie ustaarabu wake.

Kama utaamua kuomba uraia kwa wamiliki wapya, iwe juu yako! Kama utahamia Burudi, juu yako! Maana kinachoendelea sasa ni upumbavu. Yaani watu wachache tu ndiyo wanafaidi mema ya nchi, huku walio wengi wakitaabika kwenye dimbwi la umasikini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…