Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

Serikali ikipiga marufuku bangi mnakuwa wakali, huyu nae ana akili eti
 
Nafahamu asilimia 95 ya Wakazi wa Ulimwengu huu tumerithi Makabila ya Baba Zetu

Kwahiyo hata wewe umerithi Kabila la Baba yako, hivyo hata hiko kizazi unachokisema kitarithi Kabila la Babu yao ambao ni Baba yako wewe
 
Kabila lazima muwe damu moja.
Labda wewe ndio uzae watoto wako kisha uwaseti utakavyo alafu baadae ndio liwe kabila.

Huwezi kufanya Watu ambao hamna undugu ati uunde kabila.
Unazungumzia siasa, na hapo ni taifa. Taifa sio lazima muwe damu moja
 
KAMA NI RAHISI ANZISHA MKUU
 
Kabila lazima muwe damu moja.
Labda wewe ndio uzae watoto wako kisha uwaseti utakavyo alafu baadae ndio liwe kabila.

Huwezi kufanya Watu ambao hamna undugu ati uunde kabila.
Unazungumzia siasa, na hapo ni taifa. Taifa sio lazima muwe damu moja
Si kweli kabila linaunganishwa na tamaduni lugha siyo damu.
Kwaiyo unamaanisha wasukuma wote ni ndugu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…