Nataka nianzishe mahusiano na mume wa mtu kwa faida

Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo,sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena ,na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa uyu nataka nimchune jamani,wala sibebi mimba nitakua natumia majira,mume wangu hana ela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV,kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
Njoo tudate lakn nambie unatak nikufungulie biashara gani bibie
 
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo,sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena ,na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa uyu nataka nimchune jamani,wala sibebi mimba nitakua natumia majira,mume wangu hana ela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV,kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
Waebrania 13
4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom