Nataka nianzishe mahusiano na mume wa mtu kwa faida

Nafikiri huwafahamu vizuri wansume.
Nilikuwa na bibie kama wewe na alikuwa nzuri haswa, guu guu, tako tako.
Na bibie alikuwa anajua sana majamboz.

Nikamkodishia nyumba na mtaji mkubwa tu wa biashara.
Kila tukila mzigo napewa maombi mapya ya mtaji. Nikawa natoa mpaka nikahisi mambo si sawa.
Tatizo bibie hana akili akapata kijana mwenziwe wa kumzingua, na kumpa good time.
Mara bibie anakuwa mkali, anaongea nami utafikiri anaongea na house boy.
Mie nikapigwa kibuti.
Siku nimeonana na dada yake bibie, tena ameolewa, ndo nilapata picha nzima, fresh.
Kwanza nikamla dada mtu ambaye kumbe naye anatamani. Adui ya mwanamke ni mwanamke
Bibie original girl hakujua kinachoendelea lakini akaona nimekuwa mpole tu na wala siombi mzigo wala company.
Kifupi nilimshit.
Akajaribu kumtuma mama yake aliyekuwa anajua uhusiano wetu lakini wakanikuta nimepoa.
Kuna siku niliitwa shughuli ambayo bibie alikuwepo. Alipendeza mno na ni mzuri haswa, na slivaa nguo zinaonyeshwa umbo kama lilivyo.
Lakini hilo hslikuniamsha ari wala ashki.
Kifupi bibie hawezi tena pata senti yangu.
Tako lilikuwa linamdanganya 😹😹😹
Sponsor pole kwa yaliyokukuta, muwe mnajali familia zenu mtawapa magonjwa wake zenu kwa tamaa.!!
 
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.

Sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa huyu nataka nimchune jamani, wala sibebi mimba nitakua natumia majira, mume wangu hana hela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV.

Kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
Hiyo si njia sahihi ya kufnya Ili upate biashara..tafakari njia nyngne!!
 
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.

Sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa huyu nataka nimchune jamani, wala sibebi mimba nitakua natumia majira, mume wangu hana hela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV.

Kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
Ulivyokuwa unaandika ulikuwa umekunywa castle light/desperado ngapi?
 
Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.

Sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa huyu nataka nimchune jamani, wala sibebi mimba nitakua natumia majira, mume wangu hana hela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV.

Kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
heee wewe[emoji53] sio vizuri, si utafte tu wako mpenzi?? usiharibu ndoa ya mtu please[emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nifilisike hadi uhai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asante kwa kunipa tahadhari. Wacha nijiweke pembeni
[emoji23][emoji23][emoji23] Ahsante kwa kuwa msikivu.
 
Back
Top Bottom