Nataka nianzishe mahusiano na mume wa mtu kwa faida

Nafikiri huwafahamu vizuri wansume.
Nilikuwa na bibie kama wewe na alikuwa nzuri haswa, guu guu, tako tako.
Na bibie alikuwa anajua sana majamboz.

Nikamkodishia nyumba na mtaji mkubwa tu wa biashara.
Kila tukila mzigo napewa maombi mapya ya mtaji. Nikawa natoa mpaka nikahisi mambo si sawa.
Tatizo bibie hana akili akapata kijana mwenziwe wa kumzingua, na kumpa good time.
Mara bibie anakuwa mkali, anaongea nami utafikiri anaongea na house boy.
Mie nikapigwa kibuti.
Siku nimeonana na dada yake bibie, tena ameolewa, ndo nilapata picha nzima, fresh.
Kwanza nikamla dada mtu ambaye kumbe naye anatamani. Adui ya mwanamke ni mwanamke
Bibie original girl hakujua kinachoendelea lakini akaona nimekuwa mpole tu na wala siombi mzigo wala company.
Kifupi nilimshit.
Akajaribu kumtuma mama yake aliyekuwa anajua uhusiano wetu lakini wakanikuta nimepoa.
Kuna siku niliitwa shughuli ambayo bibie alikuwepo. Alipendeza mno na ni mzuri haswa, na slivaa nguo zinaonyeshwa umbo kama lilivyo.
Lakini hilo hslikuniamsha ari wala ashki.
Kifupi bibie hawezi tena pata senti yangu.
 
Huu uandishi ni wa 'me', hata hivyo haishangazi sana kwa kuwa siku hizi kuna walioleft group.
Kila la kheri.
 
Duuuuh
 
So kila siku mkitaka kuzagamuana mtakuwa mna test UKOSEFU WA KINGA. usisahau test haina cheti cha kufaulu ila unapewa majibu ya wakati huo tu.

Ney wa mitego alishaimba, mwanamke mpumbavu sehemu zake za siri ndio huumia.

Tumia akili usije fanya kichwa ni kabati la kutunzia meno au mzigo wa kuumiza shingo. Am out
 
Kumbe una mume? kwanini uliolewa sasa? ungeendelea kudanga tu
 
Untaka biashara gani bby uje tupeane raha. Mil 10 mfuko wa shati hapa. TTT zote zipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…