PinkUchumi wa buluu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PinkUchumi wa buluu
Kwahiyo mwanaume mzima umeamua kujitangaza shoga mbele ya Great Thinkers wa JF?Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.
Sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa huyu nataka nimchune jamani, wala sibebi mimba nitakua natumia majira, mume wangu hana hela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV.
Kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
We huna tamaa?,wewe pia si mke wa mtu?,mnatofauti gani?,yeye anataka K,wewe unataka duka,tena umewaza mbali mpaka kuzaa lakini nafsi imekusuta ukaona umchune tuu,natamani na wewe ungepata undani wake anavyokuwazia...na jaribu kumuwazia "yule nikishamla tuu nna mbwaga"Safari hii nataka ni date na mume wa mtu for benefit,yaani anifungulie biashara,nilisha date na mume wa mtu alikua ananizagamua tu na kunipa chips kuku na viela vidogo!! Vidogo!! Sasa tulishaachana sababu ya kuachana nili shift mkoa otherwise tungekua tuna date hadi Leo.
Sasa kuna mume wa MTU hapa naona anajileta leta tena na ni mi hand some kinoma ani, na ana pesa huyu nataka nimchune jamani, wala sibebi mimba nitakua natumia majira, mume wangu hana hela acha niingie king nipate pesa hapa nataka nimwambie tucheki HIV.
Kama wote tuko poa Mimi ninachotaka anipe ninachotaka biashara tu full stop.
Mkuu mshamba_ hachekwi acha vituko😅😅😅Nikikuita mjasiriauchi nitakuwa nakosea jamani dada yangu?
We huna tamaa?,wewe pia si mke wa mtu?,mnatofauti gani?,yeye anataka K,wewe unataka duka,tena umewaza mbali mpaka kuzaa lakini nafsi imekusuta ukaona umchune tuu,natamani na wewe ungepata undani wake anavyokuwazia...na jaribu kumuwazia "yule nikishamla tuu nna mbwaga"
NB:Ukisanukiwa tambua kwa upande wako ndoa imefikia ukomo na ndo utakua mwanamke mjinga kuliko wote duniani(aliyechagua kiduka juu ya mume na familia yake),IDIOT
HahahaJe una chura? Hapo ndo pa kuanzia kwanza.
MmmhAaah tigo haitoki!!! Tigo akale kwa mkewe