mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ukitaka kuacha mke kaa chini ufikirie.
Kuna.mwenzenu huku aligundua.rafika yake wa karibu anatembea na mke wake uamuzi aliochukua ni kumuacha.
Akamwambia rafiki yake mwingine amuandikie TALAKA TATU.kwa mkupuo.basi mwenzie akaandika wakapeleka kwa sheikh.
Sheikh akasema hii talaka kisheria imekamilika.
kumbe yule jamaa kabadilisha maamuzi hataki tena kumuacha mkewe sheikh akamwambia kisheria ya kiislam ukimuacha mkeo kwa talaka tatu inabidi mkeo aolewe kisha aachike ndo umuoe tena vinginevyo mtakuwa MNAZINI.
Acha jamaa awe mbogo.
Wewe sheikh muongo,wewe haujasomaaa,umesoma madrasa gani na maneno mengi ya kashfa .
Hapo sheikh anaonekana mbaya.