Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu, Dharau ni sumu katika mahusianoSijui kwann niliumbwa kwa akili ya kuchunguza... Ningekua mm kwanza ningekua nmeshachunguza uhalali wa hiyo kazi, wiki tatu , hapokei simu ,nkazi gan?? Kaenda na akina nan..kwann huongei nahao akina nanani.
Ningechunguza kiasi kwamba ningegundua kua,yupo kwa huyo mwanaume alokua anamuomba hela usiku wa manane.
AMINI AMIN NAKUAMBIA ,HAPA DUNIAN MAHITAJI MAKUBWA ANAYOTAKA MWANAUME TOKA KWA MKEWE NI
[emoji117]HESHIMA HESHIMAAA
[emoji117]SEX
....... Inawezekana kabisa , wee unakoswa yote hayo. Au unapata sex lkn unakoswa eshima ,au vyote kwapamoja kwa wakat mmoja.
Huyo dem inawezekana kwao ndo mtoto wa kwanza( Wanakuaga ni Matatizo).
SERIOUS,,USIPOKUA MWANAUME, UTAKUFA SIKU SIO ZAKO.
Kitendo cha mke wako, kutopokea simu, anakuta missed call lkn hakujulish .......... Kwangu angekua kanipa sababu ya kuachana naye.
Ni dharau za kiwango cha Kimataifa.
NI kabila gani?Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Exactly.Wanawake ni changamoto saana kwenye mahusianoUkichunguza wengi mnaoleta visa vya wake zenu humu ni kwamba mmeowa "watumishi".
Kuna Mzee Mmoja hata hanijui aliwahi kuniambia "tafuta asiyesoma sana utadumu naye". Hawa wasomi sio wanawake wazuri kwa ndoa.
Namrudia Aisha wangu class 7 mwenye kipaji cha hali ya juu.
NI kabila gani?
Du nisingependa kusema kabila....but ni kutoka kanda za juu kusini!
Pole ndugu, hamjaumbiwa mateso. Ila kuna wanawake visebengo sanaMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Huo ni upuuzii yaani naamini asilimia 100% mimi nimezaliwa tofauti na wanaume wengine karibia wote na spiece yangu sijui kama bado ipo hapa sayari ya earth...
Kama Trump aliweza kuvunja mkataba wa Nuclear na Iran, sembuse huyo malaya ushindwe kumfekelea mbali big no...
Kama Magufuli aliweza kuvunja mkataba na ACACIA sembuse ushindwe kumwacha huyo mwanamke malaya?
Kama Uingereza wanaachana na umoja wa ulaya BRIEXT kwako imeshindikana nn kumfekelea mbali huyo mwanamke
Kwani huyo mwanamke ni mama yako?
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggg........ Jamani mm nitavumilia mambo yote ila siyo huuu upimbi nafukuza walai kama hii kesi ingewezekana ukaniuzia yaaani nampiga mtu shoka la utozi
Mtoa mada ukikurupuka na maushauri mengine ushauri yakoSina mke wala sina demu
Na nyie mnaheshimu wake zenu au mnataka Kuwa Mungu mtu. Wanaume wa siku hizi hamujielewi kabisa ujue. Kila siku kulia lia mkiona mke kawazidi hata elimu mnaanza kuji feel inferior na kulaumu. Unataka good package wakati package yako mbovu tu
Ungeweka mada yako ya "mume kumuheshime mke" tungejadili vizuri. Tuwe tunatumia elimu yetu "iliyozidi" kusoma na kuielewa mada kuu kwanza kabla ya kuzijibu "comments" za wachangiaji.
Asikuzingue MPE talaka yake uishi kwa amani mbona mademu wapo teleMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Mie nimejibu kulingana na comments ya niliye mu quote mkuu. Nyie wanaume ni vinara wakujiliza hamuheshimiwi, sasa ka nyie hamujielewi mnataka nani awaheshimu sasa
Nadhani unafahamu maana ya "comments", inatokana na "thread" iliyoanzishwa!
Usiue utanyongwa sikushauri kabisaHahah we jamaa Ni assassinator mzuri sanaa
Ndio najua sana hyo. Na siwezi jibu comments zote na quote nakujibu niliyo interested nayo
Okay mkuuSawa, bahati mbaya sana sijawahi kuwa mwalimu!!