Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Ukitaka kuacha mke kaa chini ufikirie.
Kuna.mwenzenu huku aligundua.rafika yake wa karibu anatembea na mke wake uamuzi aliochukua ni kumuacha.
Akamwambia rafiki yake mwingine amuandikie TALAKA TATU.kwa mkupuo.basi mwenzie akaandika wakapeleka kwa sheikh.
Sheikh akasema hii talaka kisheria imekamilika.
kumbe yule jamaa kabadilisha maamuzi hataki tena kumuacha mkewe sheikh akamwambia kisheria ya kiislam ukimuacha mkeo kwa talaka tatu inabidi mkeo aolewe kisha aachike ndo umuoe tena vinginevyo mtakuwa MNAZINI.
Acha jamaa awe mbogo.
Wewe sheikh muongo,wewe haujasomaaa,umesoma madrasa gani na maneno mengi ya kashfa .
Hapo sheikh anaonekana mbaya.
 
Mzee Baba kama mngekuwa mpo pamoja kwa nyumba moja mpka sasa ivi..ningekushauri inabid mtake a break a bit kuyatafakar yote yanayoendelea...but kutokana na uamuz aliouchukua mkeo wa kuondoka bila kuaga na kukosea heshima kiasi hicho we piga chini tu..ila kumbuken tu mtoto wenu hana makosa juu ya matatizo yenu so no matter what happen presence yenu kwake ni ya lazima na muhimu i mean care,love na kila kitu cha muhimu kwa mtoto kutoka kwa mzazi
 
Eeh naona uzi wako mwingine hapa,is it?ndo maana nikasema hivo
Du Drama tena?? An away likiwa kwa mwenzio huwezi SADIKI...ndivyo maisha yalivyo yule anayekula na kusaza haamini pia kuwa kuna wanaoshinda njaa!
 
Duh!
Mwanandoa ametoa mimba?aisee wanawake hawa mbona kazi tunayo?
 
Pole sana bro,kule kwetu haya huwa tunasema"bishanga bashaija" yawakutayo wanaume,
Ninayoyajua Leo ningeyajua miaka 5 iliyopita,nisingefunga ndoa kabisa.bora upate watoto na mdada lakini kwa asilimia Fulani muwe independent
 
Believe each word and event in both stories are true....unaweza mtu ukajiuliza why me?? But I never give up.....I'm strong enough to handle this situation....si shangai kuwa na doubt cause hata wanaomjua mke wangu hawaamini....mama mmoja nilimwita aje atusikilize......du yule mama hakuamini kwa namna alivyokuwa anamchukulia wife....a few days later akaniita nyumbani kwake " unamtihani MKUBWA kwa ndoa yako mungu akupiganie" mwisho wa kunukuu.
Eeh naona uzi wako mwingine hapa,is it?ndo maana nikasema hivo
 
Siku hizi tabia za kung'ang'ania matatizo kwa sababu nyepesi..zimeisha pitwa na muda..ndoa isiwe sababu ya wewe kuumia.unaweza kuachana naye na ukaanza upya na maisha yanaendelea kwa amani.chukua hatua lipi sahihi kwako.kuendelea na mkeo ama kuachana naye.na ukaanza upya.
 
Asee watu wengine mna moyo......

Pamoja na hayo yote bado upo tu........

Daah mm tangu Mdogo wake alipoanza kuniletea dharau ningemtimua, na yeye angekuja juu angefata.

Siwezi kukaa na Mateso na Wakati Wanawake wapo chungu nzima wamejaa wanahangaika kutafuta Wanaume kama ww.

Ushauri wangu achana nae angalia mambo mengine kwanza anakukwamisha ktk ishu zako za kimaendeleo.
 
Hakuna cha kujadiliana hapo mkuu mwanamke mwenyyewe anaonekana kisirani

Mi naona aachane nae tu

Hakuna maisha ya raha kama kuwa na amani ya roho mkuu
 
Siku akurudi jifanye ulimmiss kama una gari jioni mtoe out mle mnywe mnunulie na zawadi mkiwa mnarudi nyumbani tembea 100kph tafuta mti au nguzo ya umeme lengesha ubamize upande wake, usumbufu wote utaisha!
Hahah we jamaa Ni assassinator mzuri sanaa
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.


Na mimi sielewi ujinga huu wa mwanamme kumpigia magoti mwanamke....why huu ujinga? Unabembeleza umuoe, tusipende kuiga kila ujinga kutoka nje jamani, vingine haviigiki kamwe.
 
Funga macho achana nae, hadi hapo umevumilia sana.. nidham kwa mwanamkwe ndo mpango mzima
 
Hahaha ulifanyaje mkuu?
Chukua nguo zako, na vitu vyako vya muhimu na kisha uhame nyumba ukaanze maisha mapya.
Kumbuka kwamba, hata ukiwaita ndugu waje kwenye kikao.... sana Ndugu zako watakua wanakuona boya kwa kushindwa kufanya maamuzi juu ya maisha yako. Na ndugu wa mkeo wanakuona bwege kwasababu hakuna wasicho kijua kwenye familia yako na hata hawara wa mkeo wanamjua.
Kama kweli hayo ulio yaandika ni yakweli, hauna haja ya kuweka kikao zaidi ya kufanya maamuzi na kisha uiache dunia itahukumu
 
Nakama unafanyiwa yote hayo na mtoto wako wa kiume wa miaka 5 yupo na anaona, aisee unamuharib kisaikolojia
 
Hakuna maamuz magum zaid ya kujiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…