interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mie nimejibu kulingana na comments ya niliye mu quote mkuu. Nyie wanaume ni vinara wakujiliza hamuheshimiwi, sasa ka nyie hamujielewi mnataka nani awaheshimu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]...ila dah[emoji40]..i wish n8ngekuwa mnyaki na mm jaman
Huna lolote, asili ya mtu ni asili yake tu hata iweje hawezi kubadilika kamwe zaidi ya kupunguza ule ukakasi wake.Shida ni kwamba tuna "udume" ndani yetu; ukiwa legelege imekula kwako, ukileta mfumo dume ndo dooh umeharibu kabisa hahaha. Ila mimi ni katika wale wapole sasa
Huna lolote, asili ya mtu ni asili yake tu hata iweje hawezi kubadilika kamwe zaidi ya kupunguza ule ukakasi wake.
Hadithi ya kitunga. Futilia mbaliMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Unajua shida ya hizi ndoa ni pale mawasiliano yanapovunjika na kiburi na dharau kutawala baina ya wanandoa, hivyo kupelekea tofauti ndogo ndogo kushindwa kutatuliwa biana yao wenyewe.Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake
Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu
Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Teh labda ungekuwa mpole kama mnyaki mimi
Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23]mmekutana wote viburi hadi raha
Kwa kweli aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]...ila dah[emoji40]..i wish n8ngekuwa mnyaki na mm jaman
Kwa kweli aiseee
πππwamama wakinyaki rqha sana kwanza wamepanda hewan wanene..ukimsukuma tu mumeo chaliiiπππ... ni mwendo wa ndindindi tuKwa kweli aiseee
Hahaaaa yaan ni wakorofi hatari, isipokuwa Heaven Sent tu[emoji23][emoji23][emoji23]wamama wakinyaki rqha sana kwanza wamepanda hewan wanene..ukimsukuma tu mumeo chaliii[emoji23][emoji23][emoji23]... ni mwendo wa ndindindi tu
[emoji23][emoji23][emoji23]wamama wakinyaki rqha sana kwanza wamepanda hewan wanene..ukimsukuma tu mumeo chaliii[emoji23][emoji23][emoji23]... ni mwendo wa ndindindi tu
Hahaaaa yaan ni wakorofi hatari, isipokuwa Heaven Sent tu
πππ i like them..khaa ..wale sio aiseeπ..sasa njoo kwa wasukuma..anasemwa amepiga magotiπππ..anaonewa anatazama tu kicjwa chini tena ukimaliza unashukuru kwa kutusiwa na mumeπππKitu tall black, kono hilo, guu kama tembo; akikushushia banzi unazima mbona hahw
πππππHahaaaa yaan ni wakorofi hatari, isipokuwa Heaven Sent tu
Mkuu tunasubiri MREJESHOMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Wanawake wanaotokea nyanda za huko juu kusini ukiishaona amaeanza visa tu basi achana nae mara moja vinginevyo yatakukuta makubwa tu utakufa kwa pressure mkuuJuu kusini!!