Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Mkuu naomba uelewe kwamba hadi nimechukua uamuzi wa kuandika hapa basi nimejaribu mbinu nyingi nimeshindwa...hapa ni kama sehemu ya kupata ahueni yaani ni sawa na kwenda dunia nyingine nione experience ya watu....nimekwisha muita MTU wa HEKIMA na busara nikamueleza mbele ya mke wangu kama nilivyoeleza hapa hakujibu kitu zaidi ya kuomba msamaha na kulia....lakini akishawasiliana na ndugu zake anarudi hali ile ile ya mwanzo!
Nilimaanisha tungependa kusikia na malalamiko ya mkeo pia.. Tuskilize pande zote mbili.
 
Hili nalo neno...cause nakaa na ndugu zake wa nini wakati wao ndo chanzo?? Nalifikiria
 
Mkuu nakushauri kama ulivyoamua vunja ndoa.

Lea mwanao...hiyo hatua aliyofikia huyo mwanamke hapana. Mimi ningeua nikapewa kesi bure.

Toa kwako kaka usije kufa kwa stress.
 
Kweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?![emoji102][emoji102]
Hakuwa amjitayarisha kuingia kwenye ndoa.

And I can tell you...visa vya kuwasaidia ndugu + michepuko ndivyo vitimbwi vya ndoa nyingi.

-Kwa ndugu wa mwanamme ni rahisi kudeal nao wakitaka kuvuruga ila wa mwanamke wakianza hauna ndoa.
 

we jamaa una akili kama yangu
 
Waongo
Utakuta ni wachepukaji first class

Wakileta madhila humu wanajisafisha kama wao ni wasafi sana
Sioni faida yoyote ya mtu anayetumia ID fake kuleta story ya uongo akiomba msaada wa kumwongoza katika maisha yake.

Sisemi unadanganya ila kisaikolojia haiingii akilini. Otherwise atakuwa na tatizo la kisaikolojia.
 
Jaribu kushirikisha wazazi wapande zote mbili ikibidi viongozi wa Dini wa Imani yenu.
 
Hapa mimi sina ushauri mwingine zaidi ya kukuambia hapo hapakufai, ogopa sana mwanamke wa namna hiyo.
Siku nyingine usioe mtumishi, mother house itapendeza uta enjoy ndoa yako.
 
Huyo mwanamke mpumbavu!
Sasa upo kwenye ndoa kwann utoe mimba jamani? Dah
Roho imeniuma!

Bora mpeane mda kila mtu aishi mwenyewe kwanza!
 
Unajua hii kitu japo watu wanadharau,lkn kwa sie wengine ambao tuna angalia vitu kwa jicho la 3, sio sawa kabisa!
Unamfanya mwanaume kuwa chini yako ndo maana ht majukmu hawatekelezi.... Mi sitaki kabisa,nitapiga mi magoti! Mwanaume ni kichwa bwana!
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
 
Nasema usirudi nyuma songa mbele maana utasikia kuna mijitu inakushawishi urudi nyuma nasema songa mbele. Mke akikuheshimu huwa zaidi ya mama yako sasa huyo ni ibilisi tema tembea na ukiona anazingua sijui matumizi ya mtoto beba mwanao mwache huyo fisimaji. Wengi huwafanya wanaume mazuzu.
Usikubali kunyanyasika na mwanamke anaringia uchi wake nawe ringia mbolo yako utawapata wenye akili wanaojua maana ya mme. Wanawake wengi watumishi hawajitambui kabisa ndiyo maana mimi nimeishia na hawa hawa la nne ya zamani upumbavu sipendi.
Kuumizwa ni kawaida kwa kila binadamu ila kuamua kuendelea kuvumilia kuumizwa ni uamzi wako mwenyewe.
 
Kaka nyie wawili mnajuana lkn km yote uliyosema ni kweli, basi kuna shida!

Mi ni mwanamke lakini hii so sawa!

Ushauri wangu,mpeane muda,msikae pamoja, then fanya haraka iwezekanavyo ili anaporudi akute ushajiandaa,kila mtu aishi kivyake tena usilalamike utampa kichwa! Ht km unaumia kaa kimyaa.... hawezi kaa wiki zote bla kupokea cm si kuuana huku jmn!

Then, ndugu ita sio kusuluhisha bali kuwaambia uamuzi uliochukua,full stop,sio kusuluhisha!
Sbb wao ni wapumbavu wanatetea ujinga!
 
Asante....mawazo ya kutokuwaita ndugu zake yameanza kunijia(kumbuka ndugu zangu hawajui japo juzi nimewaeleza kifupi kuwa hatupo sawa).....kwani mali si nilitoa mie then wanataka kunipelekesha anaweza kuta siku anakuja nimetia kufuli
 
Pole sana kaka,kwa ulimwengu wa sasa hawa learned women ni shida sana,juzi tu ndugu yangu pia alikuwa na mkasa kama huu,pole sana mwombe Mungu atakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…