Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Sina mke wala sina demuAdi unacoment hapa leo hii tayari umeshavunja ndoa ngapi tafazali😱😱😱😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mke wala sina demuAdi unacoment hapa leo hii tayari umeshavunja ndoa ngapi tafazali😱😱😱😱
Nilimaanisha tungependa kusikia na malalamiko ya mkeo pia.. Tuskilize pande zote mbili.
Kwa kawaida mwanamke ndugu zake ndiyo suluhisho, ndugu zake wakimwambia kitu anaelewa zaidi kuliko mtu mwingine yeyote! Sasa huyo keshawapanda na ndugu zake, hana mshauri tena!! Hafai tena coz hata aanzishe tatizo la namna gani ndugu zake watasimama nae.
Cases kama hizi suluhisho ni divorce ya kimya kimya! Unampa mateso, si upo mbali nae? Nenda kazini tulia kimyaaa usimtafute usifanye kitu ikaonekana una kosa yeye kaanza hapoke simu basi kausha, usitoe huduma wala usitake kujua lolote kutoka kwake au kwao! Akikupigia simu mshangae na umuulize we nani coz anajivunia anajua unampenda sana!!
Tafuta demu wako dulia, jenga maisha kivingine!!
Hakuwa amjitayarisha kuingia kwenye ndoa.Kweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?![emoji102][emoji102]
Huo ni upuuzii yaani naamini asilimia 100% mimi nimezaliwa tofauti na wanaume wengine karibia wote na spiece yangu sijui kama bado ipo hapa sayari ya earth...
Kama Trump aliweza kuvunja mkataba wa Nuclear na Iran, sembuse huyo malaya ushindwe kumfekelea mbali big no...
Kama Magufuli aliweza kuvunja mkataba na ACACIA sembuse ushindwe kumwacha huyo mwanamke malaya?
Kama Uingereza wanaachana na umoja wa ulaya BRIEXT kwako imeshindikana nn kumfekelea mbali huyo mwanamke
Kwani huyo mwanamke ni mama yako?
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggg........ Jamani mm nitavumilia mambo yote ila siyo huuu upimbi nafukuza walai kama hii kesi ingewezekana ukaniuzia yaaani nampiga mtu shoka la utozi
Sioni faida yoyote ya mtu anayetumia ID fake kuleta story ya uongo akiomba msaada wa kumwongoza katika maisha yake.Waongo
Utakuta ni wachepukaji first class
Wakileta madhila humu wanajisafisha kama wao ni wasafi sana
Jaribu kushirikisha wazazi wapande zote mbili ikibidi viongozi wa Dini wa Imani yenu.
Huyo mwanamke mpumbavu!Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.
Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Madame sina sababu hata chembe ya kusingizia...I do believe kwamba ninamapungufu pia but visa hivyo vyote ni kweli tupu tena nimepunguza ili members wasisindwe kusoma!
Nasema usirudi nyuma songa mbele maana utasikia kuna mijitu inakushawishi urudi nyuma nasema songa mbele. Mke akikuheshimu huwa zaidi ya mama yako sasa huyo ni ibilisi tema tembea na ukiona anazingua sijui matumizi ya mtoto beba mwanao mwache huyo fisimaji. Wengi huwafanya wanaume mazuzu.Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.

Kaka nyie wawili mnajuana lkn km yote uliyosema ni kweli, basi kuna shida!
Mi ni mwanamke lakini hii so sawa!
Ushauri wangu,mpeane muda,msikae pamoja, then fanya haraka iwezekanavyo ili anaporudi akute ushajiandaa,kila mtu aishi kivyake tena usilalamike utampa kichwa! Ht km unaumia kaa kimyaa.... hawezi kaa wiki zote bla kupokea cm si kuuana huku jmn!
Then, ndugu ita sio kusuluhisha bali kuwaambia uamuzi uliochukua,full stop,sio kusuluhisha!
Sbb wao ni wapumbavu wanatetea ujinga!
au ni akili yangu????Mambo kama hayo unamtengenezea tu alale milele
Pole sana kaka,kwa ulimwengu wa sasa hawa learned women ni shida sana,juzi tu ndugu yangu pia alikuwa na mkasa kama huu,pole sana mwombe Mungu atakusaidia.Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.