Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti unasomesha mdogo wako jamaniKweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?![emoji102][emoji102]
RebeccaKweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?!👀👀
hawa Wa sasa wamezidi kilasiku wanaomba msamaha lakini wanarudia makosa Yale yaleMkuu mimi siwezi kushauri muachane kwa kuwa sijui vema dhamira yenu ya kuoana.. ila nadhani mnachopishana hapo ni kiburi... mwanamke kiburi na mwanaume kiburi... angalien namna ya kumaliza tofaut zenu, msiishi kama maadui, haipendez, kila mmoja atambue wajibu wake na kuutimiza kwa kadri ya uwezo wake. Lakini pia, kila moja ajue msingi wa ndoa na kuzingatia...
Usione wazee wetu wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 40, ukadhani hawana matatizo.. suluhsho la tatizo syo kulikimbia
Yes mi mtu huwezi niletea upuuzi afu upate usingizi mzuriMkuu nimeelewa unamuu au ni akili yangu????
Hata mm hii ya mwanaume kupiga magoti kumvisha pete mdada naona ya kipuuzi mnoo kwanza mm mwanaume amekuja kukuvisha pete akapiga goti wajomba na makaka zangu wangefyonya na kuamka na uchumba kwishneyHaya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.
Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Rebecca
Hilo kama na liafiki na wengine anakuwa yupo na ndugu zake tu kama ni msaada ni kwake tu sasa mke naye anaamua hela zake kusaidia kwao ili waendane sawa, naye akisema yake mtashangaaNi kweli wao ndo vinara wa kuchepuka wakilipiziwa wanakuja kuanza kulia lia humu
Malipo yake yakung'oa miti na mizizi yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekutana nayo sana
Tena utakuta mwanaume anaongea kwa ushupavu sana
Ila wanawake huwa wanasema basi bwana ndo imeshatokea (malipo yake sasa!)
Mie nimesoma hii habari ila nilipofika hicho kisa nimestuka na kukaa kimya, ndoa zina mengiKweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?![emoji102][emoji102]
Hilo kama na liafiki na wengine anakuwa yupo na ndugu zake tu kama ni msaada ni kwake tu sasa mke naye anaamua hela zake kusaidia kwao ili waendane sawa, naye akisema yake mtashangaa
Dah....[emoji41]Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
na hata huyo dogo akija pata kazi hatakymbuka kwamba shemejiye alimsomeshaga alivo reseatili uhangaikie hela ya kumpeleka dogo chuo............... so sad!