Natumia hii kituUkitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.
Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc
Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Wateja wako wapi mkuu?Hivi fiber ndo kusema bado hawajaweza kuwa na mitambo ya ku supply pembezoni mwa jiji ukiachana na city center hapo?
Kikwazo ni nini haswa?
Unaifaham huduma ya microwave?Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.
Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc
Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Microwave lazima wawe na tower karibu pia.Unaifaham huduma ya microwave?
Yaani mfano mteja nipo remote street, tuseme Kimara Suka. Ambako Zuku fiber hawajafika.
Wananifungia microwave dish (dedicated link) kutoka kwenye ACCESS POINT yao hadi kwangu. Hujawahi isikia?
Hivi speed ya zuku ni kubwa kuliko ya smile?Speed tayari umeambiwa ni 10mbps, fiber unapewa Dedicated speed. Na ukiwa mlipaji mzuri kabla kifurushi hakija Expire wanakupa double speed 20mbps.
Nadhani ni awareness tu huwa watu hawana.Wateja, Kariakoo yenyewe watu wanachanga ili kuafford, maduka kadhaa yananunua package moja mtu analipa 10k ama 20k ndio maana wanaweza pata faida.
Ukipeleka mtaani huko mtaa mzima unaweza pata wateja wawili ama watatu, ngumu ku cover cost.
Hapo ndio TTCL na Serikali inabidi waplay part yao, Nchi nyingi zilizoendelea kampuni zinazosupply internet vijijini ama mahala kwenye watu wachache hupewa ruzuku.
Naifahamu Microwave ya kupashia mitori!Unaifaham huduma ya microwave?
Yaani mfano mteja nipo remote street, tuseme Kimara Suka. Ambako Zuku fiber hawajafika.
Wananifungia microwave dish (dedicated link) kutoka kwenye ACCESS POINT yao hadi kwangu. Hujawahi isikia?
Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.Biashara zina mambo mengi mkuu, je wakileta hizo huduma halafy vifurushi vikashuka?
Yani hii kitu ni fursa nzuri sana kwa watu wenye hela kuinvest halafu sidhani hata kama ni hela nyingi! With less than 500m unaweza anzisha proper business kabisa ukawa unasambaza majumbani.Sasa mbona kama ni hivyo sioni ugumu wa wao kutoleta huduma mitaani, maana kwa hali ambayo tumefikia saizi ya GB1 2500 simuoni mtu ambaye hayuko tayari kuchangia 10k kwa mwezi alafu anapewa unlimited
Wakisogeza huduma, mitandao ya simu itashtukia tu biashara yao imepungua wateja
ISP mwenye speed ya 10MBps hawezi kukupa free installation au kwa bei hiyo wanayokwambia, labda wamekwambia 10Mbps mabayo ni sawa na 1.25MBpsHabari wadau
Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo
Nasubiri ushauri wenu wadau
Mie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.
Na hivi vifurushi vya kununua kidogokidogo kinarudisha nyuma mambo mengi.
Wifi ilitakiwa iwepo kwenye mabar, restaurants, night clubs, wedding halls, petrol stations, accademic institutions, public spaces, makanisa na misikiti. Kuna ofisi ndogo hazipo mjini kati na zinahitaji reliable and cheap internet. Na kuna watu wanafanyia kazi nyumbani, internet ilitakiwa iwepo 24/7.
Hizi internet za kununua kwa kudunduliza, ni hasara kwakweli.
Yani internet haitakiwi kuonekana ni kitu luxury.
Nina uhakika kuna wateja wengi mno nje ya mji.Yani hii kitu ni fursa nzuri sana kwa watu wenye hela kuinvest halafu sidhani hata kama ni hela nyingi! With less than 500m unaweza anzisha proper business kabisa ukawa unasambaza majumbani.
Watu wapo tayari kulipa elfu 10 ukiwahakikishia unlimited access ya internet isio na vikwazo vya speed mara kupunguzwa au ushuzi gani! Watu wana ma smart tv wanataka tazama Netflix na ma youtube.
Inawezekana ni fursa moja wapo ya kutoka.Mie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.
Nashangaa wenzetu wanavyoifanya kama anasa vile tena ukiamua kuiuza kwa reja reja kama mitandao ya simu unaweza ukaitwa freemason ndani ya muda mchache sana nchini!
Internet haipimwi kwa Bytes per Second mkuu (mBps)ISP mwenye speed ya 10MBps hawezi kukupa free installation au kwa bei hiyo wanayokwambia, labda wamekwambia 10Mbps mabayo ni sawa na 1.25MBps
Kuna wana wako Arusha wanafanya hio michezo sahii wanakula vichwa tu mdogo mdogoInawezekana ni fursa moja wapo ya kutoka.
Ila hatujajua pa kuanzia.
Habari wadau
Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo
Nasubiri ushauri wenu wadau
Installation ni million 1 na laki 4 ndio shida TTCLUkitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.
Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc
Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Nipe location yao hapa posta wapo wapi ao wanga10MBps mbona spidi ndogo...kwa pesa unayolipa...
Jaribu kucheck na ISP's wengine kama Liquid ambao kwa pesa hiyo unapata 20MBps kwa bei hiyo hiyo