Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,877
- 2,314
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Ni kitu ambacho wengi wetu tulikwishasahau. Mimi sijawahi kuifanya hii, ila ninakushauri uifanye. Ninaona fursa kabisaaa ya wewe kupata riziki. Hongera kwa kuigundua fursa.