Nataka nifungue biashara ya kibanda cha kupigisha Simu

Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.

Ni kitu ambacho wengi wetu tulikwishasahau. Mimi sijawahi kuifanya hii, ila ninakushauri uifanye. Ninaona fursa kabisaaa ya wewe kupata riziki. Hongera kwa kuigundua fursa.
 
Usisikilize maneno ya kukatisha tamaa, eti simu nyingi. Mbona gari nyingi , watu wanamiliki gari kila kukicha lakini bado tunahitaji usafiri? Nina hakika hutokosa watu wenye dharura, cha msingi fanya utafiti wapi uweke kibanda.
 
Ufungue lkn usitegemee hiyo business pekee, labda uweke na vocha,kuchaji au kuuza vifaa vya simu
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
utakuwa unaishi dunia nyingine kabisa ww otherwise umetoka jela hivi karibuni
 
Usisahau kuweka tangazo la uzushi...mkopo amesafiri kinachotakiwa cash
 
Wazawa wanataka kuwekeza kwenye Tanzania ya viwanda mbona munampinga angekua beberu mngeona wazo lake linafaa!!!!Naunga mkono hoja ata hasara pia ni matokeo ya uwekezaji sio mpka upate faida tu.
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Tunaomba mrejesho Da. Sauda. Ulifanikisha??
 
Back
Top Bottom