Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
 
Fungua mgahawa wa kuwateka wakosoaji wako, huna unaloliweza zaidi ya kuuwa, kuteka na kutesa
 
wazo zuri ila usianzishe biashara bila wataalamu kuipitia. Nione kwa business plan.
 
P
Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
Hii takataka ndio think tank ya samia na kundi lao la vibaka CCM
 
Utaishia kuuza maji na matunda kidogo.
 
Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
Ni sawa na kupeleka filamu za wagonjwa wa ukimwi wa zamani(ule ukimwi wa late 80s na early 2000) kuwaonyesha wateja wanaoenda kwenye madangulo na wajuba wanaoenda bar kuchukua milupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…