Nataka niishtaki bank kwa kutoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement

Milioni 100+ ndo iwe uhujumu uchumi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu kaomba rushwa ya ngono na ana kesi ya uhujumu uchumi!
Kuna hakimu nafikiri aliomba laki moja , naye kapewa kesi hiyo, kiufupi uhujumu uchumi hauna financial threshold, hata elfu 50 unapewa hiyo kesi kutokana na mazingira.
 
Ndo uonevu huo.
Kuna mtu kaomba rushwa ya ngono na ana kesi ya uhujumu uchumi!
Kuna hakimu nafikiri aliomba laki moja , naye kapewa kesi hiyo, kiufupi uhujumu uchumi hauna financial threshold, hata elfu 50 unapewa hiyo kesi kutokana na mazingira.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Taja ni benki gani, naweza kukusaidia mawasiliano kama MD ni Mtanzania
 
Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?

Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Punguza nyeg.e soma kwa kutulia wanaume wakijadili.
 
Pole mkuu kwa yote, ila shukuru Mungu upo nje na mipango mingine inakwenda! Kosa lolote linalofanywa na mtumishi wa taasisi yoyote akiwa ndani ya ofisi ya taasisi husika, moja kwa moja taasisi kama mwajiri wake inahusika!

Hivyo hapo kula bank wala wao usihangaike nao, weka mwanasheria akusaidie kufight kwa hoja za kisheria! Tunza vielelezo vyote vina msaada mbele ya mahakama.
 
Mkuu kwanza pole sana.
Pili kwa nini unaogopa kuitaja Benki yenyewe? Hii ni kesi ya pili naona mnaogopa kuitaja Benki husika, ya kwanza ilikuwa inahusu wizi wa VISA card.

Tatu mbona inaonekana kwamba unatumia 'mtu wa tatu' kuifuatilia hili suala kufuatana na maelezo yako. Fedha siyo rahisi kuibiwa au kutolewa Benki bila maandishi na mtu aliyetoa.

Kwa kufikiri haraka haraka hiyo fedha inaweza kuwa imehamishwa na kupelekwa kwenye aina fulani ya 'Escrow Account' kwa kuwa imekaa muda mrefu bila miamala ua kwa kuwa ipo kwenye uchunguzi wa kimahakama.

Hivyo nakushauri utafute ukweli wote, itaje Benki husika hapo ndiyo utaweza kusaidiwa.
 
Ndugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yako
 
Ndugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yako
Jamaa ana Mil 100 kwenye acc alafu anaogopa kuchukua wakilii
 
mtafute meneja wa hiyo bank kwa udi na uvumba

atakusaidia zaidi na pesa itarudi...mpe stori yote hao wafanyakazi ni majambazi

na uwe makini nao,wanaweza kukudhuru
 
This is a lie!

Booking.com inafanyeje kazi na POS machine tena wakati wanaofanya booking worldwide wanatumia Visa card au Paypal?Machine ya nini tena?

Duh,huu utoto bwana!
 
Bro pole sana aisee hizi njaa zinafundisha watu uhuni kwa kiasi kikubwa mno.Hapo cha kufanya tafuta mwanasheria nguli wa mambo ya mikataba na fedha ili muitikise hiyo bank na uzuri bank kuna mifumo ambayo haisemi uongo kwenye issue za kifedha plus camera.

KAMA UNAAMINI WE NI MSAFI MBONA HAKI YAKO NA KIASI ULICHOPOTEZA UTAKIPATA NA NYONGEZA JUU YA DISTURBANCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…