Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinakuwa zinaingia tu bila kuingizwa?
Nipe connection ya hao watu wanaofungua hizo akauntiZinaingizwa kwa njia zisizo halali. Watu wanakaa kwenye mitambo tu.
Kuna mtu kaomba rushwa ya ngono na ana kesi ya uhujumu uchumi!
Chai hiiHapana mzee nilikuwa ndani gerezani nimetoka hivi karibuni...story hii ni ndefu mkuu
Kuna mtu kaomba rushwa ya ngono na ana kesi ya uhujumu uchumi!
Kuna hakimu nafikiri aliomba laki moja , naye kapewa kesi hiyo, kiufupi uhujumu uchumi hauna financial threshold, hata elfu 50 unapewa hiyo kesi kutokana na mazingira.
Taja ni benki gani, naweza kukusaidia mawasiliano kama MD ni MtanzaniaNamiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu...
Punguza nyeg.e soma kwa kutulia wanaume wakijadili.Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?
Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Nipe connection ya hao watu wanaofungua hizo akaunti
Akionyesha hiyo bank statement naendelea na huu uzi, kwa sasa nasubilia kwanzaungeonesha kwanza hiyo bank statement kabla hujashauriwa isikute ni porojo tupu
Sitasubiri wanikamate, nasubiri zifike 10m natoa zote na akaunti natelekezaUandae wadhamini na mazoezi ya kwenda selo.
Ndugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yakoNataka niishtaki bank imetoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement kweli inaonesha pesa ilitolewa toka 2017.
Vipi hapo kwa wataalamu wa sheria hii case imekaaje kwenye masuala ya kunilipa na je kutakuwa na compersation yoyote kutokana na usumbufu nilioupata kipindi hiki chote toka wanichukulie pesa zangu?
Jamaa ana Mil 100 kwenye acc alafu anaogopa kuchukua wakiliiNdugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yako
Hapo mtu akijipanga anaweza kuishitaki benki, kushinda kesi, kulipwa hela zake, riba, na gharama za mawakili.Jamaa ana Mil 100 kwenye acc alafu anaogopa kuchukua wakilii
This is a lie!Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu...
Bro pole sana aisee hizi njaa zinafundisha watu uhuni kwa kiasi kikubwa mno.Hapo cha kufanya tafuta mwanasheria nguli wa mambo ya mikataba na fedha ili muitikise hiyo bank na uzuri bank kuna mifumo ambayo haisemi uongo kwenye issue za kifedha plus camera.Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu.