Nataka niishtaki bank kwa kutoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement

Nataka niishtaki bank kwa kutoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement

Milioni 100+ ndo iwe uhujumu uchumi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu kaomba rushwa ya ngono na ana kesi ya uhujumu uchumi!
Kuna hakimu nafikiri aliomba laki moja , naye kapewa kesi hiyo, kiufupi uhujumu uchumi hauna financial threshold, hata elfu 50 unapewa hiyo kesi kutokana na mazingira.
 
Ndo uonevu huo.

Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu...
Taja ni benki gani, naweza kukusaidia mawasiliano kama MD ni Mtanzania
 
Pole mkuu kwa yote, ila shukuru Mungu upo nje na mipango mingine inakwenda! Kosa lolote linalofanywa na mtumishi wa taasisi yoyote akiwa ndani ya ofisi ya taasisi husika, moja kwa moja taasisi kama mwajiri wake inahusika!

Hivyo hapo kula bank wala wao usihangaike nao, weka mwanasheria akusaidie kufight kwa hoja za kisheria! Tunza vielelezo vyote vina msaada mbele ya mahakama.
 
Mkuu kwanza pole sana.
Pili kwa nini unaogopa kuitaja Benki yenyewe? Hii ni kesi ya pili naona mnaogopa kuitaja Benki husika, ya kwanza ilikuwa inahusu wizi wa VISA card.

Tatu mbona inaonekana kwamba unatumia 'mtu wa tatu' kuifuatilia hili suala kufuatana na maelezo yako. Fedha siyo rahisi kuibiwa au kutolewa Benki bila maandishi na mtu aliyetoa.

Kwa kufikiri haraka haraka hiyo fedha inaweza kuwa imehamishwa na kupelekwa kwenye aina fulani ya 'Escrow Account' kwa kuwa imekaa muda mrefu bila miamala ua kwa kuwa ipo kwenye uchunguzi wa kimahakama.

Hivyo nakushauri utafute ukweli wote, itaje Benki husika hapo ndiyo utaweza kusaidiwa.
 
Nataka niishtaki bank imetoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement kweli inaonesha pesa ilitolewa toka 2017.

Vipi hapo kwa wataalamu wa sheria hii case imekaaje kwenye masuala ya kunilipa na je kutakuwa na compersation yoyote kutokana na usumbufu nilioupata kipindi hiki chote toka wanichukulie pesa zangu?
Ndugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yako
 
Ndugu kwa mambo ambayo ni complex na unapambana na mtu mwenye nguvu. Tumia advocate usiogope kuingia gharama kupata haki yako
Jamaa ana Mil 100 kwenye acc alafu anaogopa kuchukua wakilii
 
mtafute meneja wa hiyo bank kwa udi na uvumba

atakusaidia zaidi na pesa itarudi...mpe stori yote hao wafanyakazi ni majambazi

na uwe makini nao,wanaweza kukudhuru
 
Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu...
This is a lie!

Booking.com inafanyeje kazi na POS machine tena wakati wanaofanya booking worldwide wanatumia Visa card au Paypal?Machine ya nini tena?

Duh,huu utoto bwana!
 
Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu.
Bro pole sana aisee hizi njaa zinafundisha watu uhuni kwa kiasi kikubwa mno.Hapo cha kufanya tafuta mwanasheria nguli wa mambo ya mikataba na fedha ili muitikise hiyo bank na uzuri bank kuna mifumo ambayo haisemi uongo kwenye issue za kifedha plus camera.

KAMA UNAAMINI WE NI MSAFI MBONA HAKI YAKO NA KIASI ULICHOPOTEZA UTAKIPATA NA NYONGEZA JUU YA DISTURBANCE
 
Back
Top Bottom