The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Kwa nini afungwe kwa uhujumu uchumi?naona kama unamtisha bila sababu za msingi kama fedha aliipata kihalali na kodi analipa sioni mashaka ya uhujumu uchumiKwanza pole sana mkuu, pili mshukuru sana Mungu umebahatika kupata dhamana na uko nje.
Tatu, hiyo kesi kwa hichi kipindi ikipelekwa inavyostahili utafungwa kwa utakatishaji wa pesa na uhujumu uchumi...