kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Hakikisha hakuna chumba cha kupumzikia. Maana kitakachofuatia utamtengenezea GeustNaombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa,
Wazo zuri mpe hi shemeji.Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture p
Haya mambo mengine mzee ni madogo madogo sana. Yaani ni ya kumalizana tu huko huko nyumbani na my wife wako. Kama umeona kabisa kuna fursa kwenye hiyo biashara, wewe mfungulie tu shemeji yetu.Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture
Je pia mtaji huo unatosha?
Kwangu mm ni mzuri kwa sababu ndyo niliyemchagua niishi nae na nina familia nae ikitokea kabadirika si mbaya maana nae ni mwanadam.
Watu wamekazana kutoa ushauri ambao haujaombwa tu.Ayo achana nayo ayana maana mwanamke akizingua si unaachana nae mnalea tu watoto.
Ase mm nilihitaji zaidi mawazo yako kama una experience na biashara hiyo ya madawa ya binaadam tushare exposure zaidi.
Duka la dawa muhimu.Kuna DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM) na kuna duka la dawa "Pharmacy"
Katika kuanzisha biashara ya kuuza dawa inabidi uwe specific ni aina gani ya Duka la dawa unahitaji kuanzisha..
Una milion nne unataka kufungua pharmacy?[emoji23][emoji23]Duka la dawa "Pharmancy"
Mkuu kama hutojali, mtaji wa kiasi gani unafaa kwa mahitaji ya kufungua pharmacyNina uzoefu wa biashara hii kwa takribani miaka 22 sasa.
Naamini nimesaidia kwa kiasi changu.All the good lucky!!!
- Location-Unaliweka wapi,kuna maduka mengine kama hayo,ni kipi ambacho umekiona kama mapungufu kwa wenzio ili urrekebishe na kupata wateja wengi?
- Anauza nani?-Kisheria anyeuza ni lazima awe na cheti lakini kama mkeo hana shughuli nyingine itabidi abanane hapo hapo kwani wauzaji wanfaidika mno.Kumbuka hii ni biashara ya reja reja na ni vigumu kufanya stock taking yenye tija mara kwa mara.Wanaiba sana na kama sio mwangalifu anaweza kawa anuza dawa zake (kuna mmoja alikuwa analetewa chakula mchana na ndugu yake lakini kumbe kwenye kapu alikuwa kiletewa dawa za kuuza.
- Dawa zilizoorodheshwa kwa ajili ya DLDM ni chache na ni za faida ndogo.Kama una uwezo tafuta namna a kufungua pharmacy.
- Fungua account hata ya tigo pesa na pesa ila jioni iingizwe huko.