Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa.

Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama zingine ndogo ndogo za kufanya duka liwe na mvuto inacost kiasi Gn?

Budget yangu ni 2.5 matengezo cha chumba cha duka. Mtaji nina milion 4. Naomba mtaalam anishauri kwa budget hyo ya fedha naweza kuwa na duka nzuri?

Ili mke wangu nae apate pakuokota mia mia maana amesoma uphamancia. Ushauri wenu ndugu zangu
Je pia mtaji huo unatosha?
 
Kama ni mzuri, umsihi ajiheshimu, wasije wakawa wanakuja wanaume wenzako wanampa vishawishi na hatimaye kujigongea. Kuhusu wazo lako, in zuri na duka la dawa lina faida sana hasa kama lokesheni ni nzuri.
 
Kwangu mimi ni mzuri kwa sababu ndyo niliyemchagua niishi nae na nina familia nae ikitokea kabadilika si mbaya maana nae ni mwanadamu.

Chamsingi nikwamba lzm ukikuwa ufocus kwenye namna ya kutengeneza maisha kwa ajiri ya familia yako ukifkir hicho unachofkiri ww naona kama bado hujakuwa.
 
Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture
Je pia mtaji huo unatosha?
Haya mambo mengine mzee ni madogo madogo sana. Yaani ni ya kumalizana tu huko huko nyumbani na my wife wako. Kama umeona kabisa kuna fursa kwenye hiyo biashara, wewe mfungulie tu shemeji yetu.
 
Ayo achana nayo ayana maana mwanamke akizingua si unaachana nae mnalea tu watoto.

Ase mm nilihitaji zaidi mawazo yako kama una experience na biashara hiyo ya madawa ya binaadam tushare exposure zaidi.
 
Ayo achana nayo ayana maana mwanamke akizingua si unaachana nae mnalea tu watoto.

Ase mm nilihitaji zaidi mawazo yako kama una experience na biashara hiyo ya madawa ya binaadam tushare exposure zaidi.
Watu wamekazana kutoa ushauri ambao haujaombwa tu.

Mzee wa kimasihara Carlos The Jackal msaada tutani mzee kwenye kuanzisha duka la dawa man
 
Kuna DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM) na kuna duka la dawa "Pharmacy"

Katika kuanzisha biashara ya kuuza dawa inabidi uwe specific ni aina gani ya Duka la dawa unahitaji kuanzisha..
 
Kuna DUKA LA DAWA MUHIMU (DLDM) na kuna duka la dawa "Pharmacy"

Katika kuanzisha biashara ya kuuza dawa inabidi uwe specific ni aina gani ya Duka la dawa unahitaji kuanzisha..
Duka la dawa muhimu.
 
Basi naomba experience yako kuhusu duka la dawa muhimu.
 
Nina uzoefu wa biashara hii kwa takribani miaka 22 sasa.
  1. Location-Unaliweka wapi,kuna maduka mengine kama hayo,ni kipi ambacho umekiona kama mapungufu kwa wenzio ili urrekebishe na kupata wateja wengi?
  2. Anauza nani?-Kisheria anyeuza ni lazima awe na cheti lakini kama mkeo hana shughuli nyingine itabidi abanane hapo hapo kwani wauzaji wanfaidika mno.Kumbuka hii ni biashara ya reja reja na ni vigumu kufanya stock taking yenye tija mara kwa mara.Wanaiba sana na kama sio mwangalifu anaweza kawa anuza dawa zake (kuna mmoja alikuwa analetewa chakula mchana na ndugu yake lakini kumbe kwenye kapu alikuwa kiletewa dawa za kuuza.
  3. Dawa zilizoorodheshwa kwa ajili ya DLDM ni chache na ni za faida ndogo.Kama una uwezo tafuta namna a kufungua pharmacy.
  4. Fungua account hata ya tigo pesa na pesa ila jioni iingizwe huko.
Naamini nimesaidia kwa kiasi changu.All the good lucky!!!
 
Mkuu kama hutojali, mtaji wa kiasi gani unafaa kwa mahitaji ya kufungua pharmacy
 
Back
Top Bottom