kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa.
Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama zingine ndogo ndogo za kufanya duka liwe na mvuto inacost kiasi Gn?
Budget yangu ni 2.5 matengezo cha chumba cha duka. Mtaji nina milion 4. Naomba mtaalam anishauri kwa budget hyo ya fedha naweza kuwa na duka nzuri?
Ili mke wangu nae apate pakuokota mia mia maana amesoma uphamancia. Ushauri wenu ndugu zangu
Je pia mtaji huo unatosha?