Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini
haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)
Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)
sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3
sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu
Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume
NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
UPDATES: Binti ameleta mtoto nyumbani, nimemwambia Bi mkubwa akitaka kuondoka aondoke tu, amemleta pia mtoto aliezaa na mtu mwingine (nipo tayari kumuhudumia pia) kwa ninayoyaona wanafanyiwa watoto mtandaoni na wanapoishi si salama acha nibaki nae tu.
ASANTENI