Nataka nimpokonye Mwanamke Mtoto(Ni mtoto wa mdogo wangu)

Hata kama binti ni maskini hana akili Nina uhakika anampenda mtoto wake kuliko wewe, you can offer a helping hand lakini sio kumpokonya mtoto wake,pesa is nothing kwenye mapenzi ya mama na mtoto, kama kuna mental illness or madawa yes you can, fuata sheria lakini
Naunga mkono hoja
 
Kwahiyo sasa hivi pesa sio kitu? ingekuwa hivyo, maamuzi mengine ya mahakama yangetolewa kwa kuangalia mapenzi ya mzazi kwa mtoto na sio sehemu yenye mazingira mazuri kwa mtoto kukua.

Nafikiri hapo, Mama anasaidiwa kupunguziwa majukumu ili aweze kujitafuta vizuri bila kuathiri ukuaji wa mtoto. Mama akishajipata, anaweza kurudi kuchukua mtoto na kulea.
 
Habari Wandugu

iko Hivi

Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini

haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)

Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)

sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3

sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu

Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)

Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume

NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume🥺🥺🥺
 
Jaribu kwenda Huko kijijini na uwe unapeleka mahitaji badala ya Fedha, mtoto anaona,siku ikifika ataamua mtoto kuja kwenu!
 
Tatizo ni maisha walipo, bima ya afya si kitu kama kula ni shida

Binti amesidiwa ila bado hasaidiki

Ninaposema anategemea Wanaume Nieleweke(anaacha watoto) anaenda kwa wanaume
Wewe umejuaje anaenda kwa wanaume?
 
Ninachokiona ni hujuma, chuki, dharau. Kwanini usimpe mtaji huyo mwanamke? Au kwasababu mtoto now anatembea anaongea hivyo unaona kaz imeisha unaweza mchukua tu ? Tulia ufikiri upya.
Kama hadithi ni ya kweli huyu mtu anafanya jambo jema, huyo binti ndo ana matatizo. Kuwachukua hao watoto ni sahihi kabisa, kama mama yao ni mwanamke mwema aombe hifadhi karibu na hao watoto sio akae mbali atumiwe hela.
 
Hata kama binti ni maskini hana akili Nina uhakika anampenda mtoto wake kuliko wewe, you can offer a helping hand lakini sio kumpokonya mtoto wake,pesa is nothing kwenye mapenzi ya mama na mtoto, kama kuna mental illness or madawa yes you can, fuata sheria lakini
Mapenzi kwa watoto hayatoshi, watoto kuishi na mama ambaye anaingiliwa hovyo si salama kwa afya ya akili ya hao watoto. Kama huyo mwanamke ni mama anayejali kweli angeomba hifadhi karibu na wanae huku akikubali wapate matunzo yanayostahili.
 
Kwahiyo sasa hivi pesa sio kitu? ingekuwa hivyo, maamuzi mengine ya mahakama yangetolewa kwa kuangalia mapenzi ya mzazi kwa mtoto na sio sehemu yenye mazingira mazuri kwa mtoto kukua.

Nafikiri hapo, Mama anasaidiwa kupunguziwa majukumu ili aweze kujitafuta vizuri bila kuathiri ukuaji wa mtoto. Mama akishajipata, anaweza kurudi kuchukua mtoto na kulea.
Kabisa mkuu, halafu watu wanatoa hoja kanakwamba maamuzi ya kulea mtoto wa binadamu usiyemjua ni mepesi. Jamaa ana nia nzuri kabisa.
 
Habari Wandugu

iko Hivi

Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini

haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)

Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)

sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3

sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu

Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)

Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume

NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Kumpokonya mwanamke mtoto wa miezi 8 ni kumkomoa mtoto na si mama yake. Maana naona kama vile unataka kufanya ukatili kwa mama mtoto bila sababu ya msingi.
Huyo mwanamke anaweza kulea mtoto akiwa kwao.
Unachoweza kufannya ni kuwa unampa kiasi flani cha pesa kila mwezi na kiwe fixed...kama ni laki moja ndo hiyo hiyo hakuna kuongeza. Mtafutie pia bima ya afya ya mtoto.
Mara moja kwa mwaka mtoto aje kuwasalimia kwa siku kadhaa aondoke na mama yake hadi pale atakapokuwa mkubwa kiasi miaka 4 au 5 ndo unaweza kumchukua ili aanze shule.
Mtoto wa umri huo anamuhitaji mama yake.
Huyo mtoto mwingine ambaye sio damu yenu achananeni nae. Muache kiherehere...
Kama vipi dogo amuoe huyo dada case closed.
 
Mtoto keshazoea kuishi na mama yake, utamnyima raha ukimchukua. Kama mama yake anamudu kumtunza acha tu aishi naye. Mtoto akishakuwa mkubwa kama ataona umuhimu wa kuwa karibu na baba yake atafanya hivyo tu kwa utashi wake. Ni ujuha kuanza kugombania mtoto
 
Habari Wandugu

iko Hivi

Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini

haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)

Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)

sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3

sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu

Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)

Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume

NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Binti hajielewei huyo, mpokonye tu mtoto.
Akiomba pesa akiwa huko asiendelee kutumiwa.
Na dogo yeye yuko wapi? Anaplay part gani?
 
Mtaweza kumlea mtoto wa miezi 8? Je, na mama yake atakubali? Ushauri wangu kwako; muacheni mtoto akae na mama yake, na nyinyi toeni fedha ya matunzo kulingana na uwezo wenu. Full stop.
 
Mtoto sasa anatembea ni kama anaenda mwaka na nusu

Hata uko alipo anaachwa na bibi ndio anakaa na mtoto
 
Yote tisa kijana una dharau na majivuno sana
Ulivyomuelezea huyo binti ni kama vile wewe ndiye uliyemzalisha unataka kumkomoa kumchukua mtoto maana unaona hiyo elfu 20 unayotuma kila mwezi kama milioni
 
Back
Top Bottom