Naunga mkono hojaHata kama binti ni maskini hana akili Nina uhakika anampenda mtoto wake kuliko wewe, you can offer a helping hand lakini sio kumpokonya mtoto wake,pesa is nothing kwenye mapenzi ya mama na mtoto, kama kuna mental illness or madawa yes you can, fuata sheria lakini
Kwahiyo sasa hivi pesa sio kitu? ingekuwa hivyo, maamuzi mengine ya mahakama yangetolewa kwa kuangalia mapenzi ya mzazi kwa mtoto na sio sehemu yenye mazingira mazuri kwa mtoto kukua.Hata kama binti ni maskini hana akili Nina uhakika anampenda mtoto wake kuliko wewe, you can offer a helping hand lakini sio kumpokonya mtoto wake,pesa is nothing kwenye mapenzi ya mama na mtoto, kama kuna mental illness or madawa yes you can, fuata sheria lakini
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume🥺🥺🥺Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini
haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)
Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)
sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3
sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu
Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume
NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
apo ingependezaa mdogo wako akubaliane na mwanamke amchukue dogo alaf akuachie ingependeza zaidi !Yupo, bado mambo hayajakaa vizuri kama mim i ila ana uwezo wa kujipambania, sio vibaya nikamsaidia hili la mtoto
Jaribu kwenda Huko kijijini na uwe unapeleka mahitaji badala ya Fedha, mtoto anaona,siku ikifika ataamua mtoto kuja kwenu!Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini
haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)
Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)
sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3
sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu
Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume
NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Wewe umejuaje anaenda kwa wanaume?Tatizo ni maisha walipo, bima ya afya si kitu kama kula ni shida
Binti amesidiwa ila bado hasaidiki
Ninaposema anategemea Wanaume Nieleweke(anaacha watoto) anaenda kwa wanaume
ShemejiWewe umejuaje anaenda kwa wanaume?
MamboShemeji
Kama hadithi ni ya kweli huyu mtu anafanya jambo jema, huyo binti ndo ana matatizo. Kuwachukua hao watoto ni sahihi kabisa, kama mama yao ni mwanamke mwema aombe hifadhi karibu na hao watoto sio akae mbali atumiwe hela.Ninachokiona ni hujuma, chuki, dharau. Kwanini usimpe mtaji huyo mwanamke? Au kwasababu mtoto now anatembea anaongea hivyo unaona kaz imeisha unaweza mchukua tu ? Tulia ufikiri upya.
Mapenzi kwa watoto hayatoshi, watoto kuishi na mama ambaye anaingiliwa hovyo si salama kwa afya ya akili ya hao watoto. Kama huyo mwanamke ni mama anayejali kweli angeomba hifadhi karibu na wanae huku akikubali wapate matunzo yanayostahili.Hata kama binti ni maskini hana akili Nina uhakika anampenda mtoto wake kuliko wewe, you can offer a helping hand lakini sio kumpokonya mtoto wake,pesa is nothing kwenye mapenzi ya mama na mtoto, kama kuna mental illness or madawa yes you can, fuata sheria lakini
DuuuhMbwa Kabisa wewe,kamuite mamako single Maza bloodyfool
Kabisa mkuu, halafu watu wanatoa hoja kanakwamba maamuzi ya kulea mtoto wa binadamu usiyemjua ni mepesi. Jamaa ana nia nzuri kabisa.Kwahiyo sasa hivi pesa sio kitu? ingekuwa hivyo, maamuzi mengine ya mahakama yangetolewa kwa kuangalia mapenzi ya mzazi kwa mtoto na sio sehemu yenye mazingira mazuri kwa mtoto kukua.
Nafikiri hapo, Mama anasaidiwa kupunguziwa majukumu ili aweze kujitafuta vizuri bila kuathiri ukuaji wa mtoto. Mama akishajipata, anaweza kurudi kuchukua mtoto na kulea.
Kumpokonya mwanamke mtoto wa miezi 8 ni kumkomoa mtoto na si mama yake. Maana naona kama vile unataka kufanya ukatili kwa mama mtoto bila sababu ya msingi.Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini
haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)
Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)
sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3
sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu
Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume
NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Binti hajielewei huyo, mpokonye tu mtoto.Habari Wandugu

Mtaweza kumlea mtoto wa miezi 8? Je, na mama yake atakubali? Ushauri wangu kwako; muacheni mtoto akae na mama yake, na nyinyi toeni fedha ya matunzo kulingana na uwezo wenu. Full stop.Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi huko vijijini
haya, huyu binti kazaa tena na dogo, akawa anaishi huko huko kijijini inatumwa pesa ya matumizi na magonjwa isoisha, mwisho wa siku huyo binti akaja kwa bi mkubwa na watoto 2 (mtoto aliezaa na mwanaume wa 1 (ana miaka 5, na mtoto wa dogo ana miezi 8 hivi ndio alikua ameanza kukaa)
Dogo wa miaka 5 akawa anasema maisha ya kwa bibi(Alikotoka) ni magumu (ukimuuliza unataka kurudi kwa bibi hataki, anasema wanakunywa tu uji siku zote-watoto wanasema kweli)
sasa nikamwambia bi mkubwa (wachukue wote wawili kaa nao hapo home na nipo tayari kumuhudumia na yeye pia)
nipo tayari kwa moyo mmoja kumuhudumia huyu dogo maana tayari ni kama ndugu hata kama baba yake simjui, akikua akaona amekua mtu mzima ataenda kwa baba yake, wakati wamekuja nyumbani(kumleta huyu mtoto wa dogo) huyu dada alikaa kama miezi 3
sasa, huyu dada ameondoka home na watoto wote 2-alikoenda hamna maisha ni kijijini, hata yeye hana maisha zaidi ya kwenda kwa wanaume tu, sasa yeye ni kuomba pesa tu kila siku mtoto anaumwa, ameambiwa amlete hataki(katumiwa NAULI amlete mtoto(wote 2) kapokea nauli kala kila siku ni visingizio tu
Nina Uchungu sana na huyu mtoto wa dogo, naona kama anapata taabu ya bure na maisha magumu bila sababu, NATAKA NIINGILIE KATI NIMPOKONYE HUYU MTOTO(mtoto wa dogo) NIMLETE HOME (sasa hivi atakua na mwaka na miezi 3/4)
Binti hana kazi yoyote, hana elimu yoyote, hana kitu chochote zaidi ya kutegemea wanaume
NAOMBENI USHAURI JUU YA HILI-KISHERIA LIMEKAAJE
Mtoto sasa anatembea ni kama anaenda mwaka na nusuMtaweza kumlea mtoto wa miezi 8? Je, na mama yake atakubali? Ushauri wangu kwako; muacheni mtoto akae na mama yake, na nyinyi toeni fedha ya matunzo kulingana na uwezo wenu. Full stop.