Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ninachokiona ni hujuma, chuki, dharau. Kwanini usimpe mtaji huyo mwanamke? Au kwasababu mtoto now anatembea anaongea hivyo unaona kaz imeisha unaweza mchukua tu ? Tulia ufikiri upya.
Yote tisa kijana una dharau na majivuno sana
Ulivyomuelezea huyo binti ni kama vile wewe ndiye uliyemzalisha unataka kumkomoa kumchukua mtoto maana unaona hiyo elfu 20 unayotuma kila mwezi kama milioni
Mtoto sasa anatembea ni kama anaenda mwaka na nusu
Hata uko alipo anaachwa na bibi ndio anakaa na mtoto
Hio ni chuki , hujuma na upotoshi.๐Ampe mtaji?๐๐๐ Kuna watu mnavituko Sana.
Huyo mtu wa kumpa mtaji yeye mwenyeewe anajitafuta๐.
Hio ni chuki , hujuma na upotoshi.๐
Unamsema mpwa wangu nini wa huko Busega? Sema tofauti imekuwa kwenye kukaa kwa Bibi yao kijijini, vingine vyote copyright! Mabinti wanapitia changamoto sana! Kwenye kumpokonya watoto mkuu hutaweza, utakuwa umeingia kwenye anga za Dr. Gwajima. Serikali haiwezi kuruhusu uchukue mtoto wa chini ya miaka 7, umri huo wanapaswa kuishi na mama yao.Tatizo ni maisha walipo, bima ya afya si kitu kama kula ni shida
Binti amesidiwa ila bado hasaidiki
Ninaposema anategemea Wanaume Nieleweke(anaacha watoto) anaenda kwa wanaume
Una mtoto? Ambaye umemlea since akiwa mchanga? Ni ngumu sana kunyang'anywa mtotoChuki ya kumuokoa mtoto wake?