Nataka nioe mwanamke wa Kisukuma, Wanyantuzu je wapoje?

Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.

Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Subiri akupige lile limbwata la kihaya Nshumata utabaki historia tu.

Wachawi sana hao, powa at your own risk usiseme hatukukwambia.

Tumetoka kumzika Massawe juzi tu Bagamoyo na mke na mama yake hawajashiriki mazishi.
 
Mimi ni Mnyantuzu na nimeoa Mnyantuzu.

Kwa ujumla hawa mabinti hawana ishu. Ni wavumilivu. Ni wachapa kazi sana na waaminifu. Lakini kama ilivyo kwa binadamu, hakuna aliye mkamilifu na pasua kichwa pia wapo.

Na ili uwezane na mwanamke wa Kinyantuzu (nadhani na wengineo), ni lazima usimame katika zamu yako kama mwanaume na kiongozi/kuhani wa familia. Weka misimamo yako mapema - mambo ambayo hutavumilia katika familia yako; na uyasimamie. Ni watiifu na atakusikiliza...

Mengineyo tumia akili zako za kuzaliwa...

Wabeja!
20230207-144321_Gallery.jpg
 
Ni wavumilivu na wasikivu kwenye ndoa sema ishu kama hizi kwao ni kawaida sana.
 
Subiri akupige lile limbwata la kihaya Nshumata utabaki historia tu.

Wachawi sana hao, powa at your own risk usiseme hatukukwambia.

Tumetoka kumzika Massawe juzi tu Bagamoyo na mke na mama yake hawajashiriki mazishi.
Uchawi ni makabila yote
 
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.

Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Chukua jiko kijana, wako poa sana.
 
Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee.

Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
Uzi bila picha …
 
Back
Top Bottom