Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

Unatafuta kufilisika halafu uanze kusema ndugu zangu wameniroga, kumbe umehonga mtaji wote kwa mchepuko
 
Ndugu usijaribu… uboss utaisha, ataanza kukuona mwenzake. Ataiona ofisi kama ana share nayo
Utashindwa kumkoromea akiharibu kazi… yan utakoma

Ila akiwa na akili naye hatoleta mahaba kazini..ila kakikosa akili jiandae kuisha
 
SIKU AKIKIMBIA NA MILION KADHAA hutakuwa na cha kumfanyaaa... hata polisi wakijua ulimkula kesi imeishaa 😀 😀 😀 akizingua kazi huwezi kumgombezaa...sasa ukimpa mimba labda uwe umepanga kumuoaa maana hakuna rangi utaacha kuona.
 
Umeamua kujimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…