Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee😁😁Ukweli upi zaidi ya huo 😄
Alale nae tu biashara haita lala demu ataichukulia kama yake
So nimepata binti hapa ofisini kwangu niliemwajiri takribani miezi miwili kwa sasa na chemistry zetu zimefanan yani tumezoeana.
Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19 flani hivi,
Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.
kiukweli ni binti ambae kwenye biashara ana ufanisi mkubwa wa kuuza.
Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni,
Hapa inakuwaje wakuu katika usawa wa biashara, Je nikimla nitumie mbinu gani aendelee na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
Ingekuwa ww ungemfilisi jamaa 😄 si ungekuwa una muonea hurumaAisee😁😁
Sina huruma kwa mpenzi nanyonya uchumi kama kupe😬Ingekuwa ww ungemfilisi jamaa 😄 si ungekuwa una muonea huruma
mkuu, ameshasema amemla denda, amemminyaminya chuchu na mengine mengi alivyompakata. Unadhani mkono haukumgusa "mwajuma"? Nae binti hakujipimia kwa mkono? Wemesha ZINI.Ukila tu mbususu ilo duka halifiki pasaka
Usisahau kuleta mrejesho
Npo nimekaa pale👉
Na huyo Mwanamke lazima akitegeshe sasa hivi ataitwa baba kijacho.SIKU AKIKIMBIA NA MILION KADHAA hutakuwa na cha kumfanyaaa... hata polisi wakijua ulimkula kesi imeishaa 😀 😀 😀 akizingua kazi huwezi kumgombezaa...sasa ukimpa mimba labda uwe umepanga kumuoaa maana hakuna rangi utaacha kuona.
Hatari! Sii mchezo🤣🤣🤣🤣Kwaheri biashara......atatumia pesa vile atakavotaka make sio za boss tena ni za baby, nyege hizi acha tu!!!!
Kumbe ndio zenu hizo kutegesha tuu mimbaNa huyo Mwanamke lazima akitegeshe sasa hivi ataitwa baba kijacho.
Nuzulati 😂Sina huruma kwa mpenzi nanyonya uchumi kama kupe😬
Umeamua kujimalizaSo nimepata binti hapa ofisini kwangu niliemwajiri takribani miezi miwili kwa sasa na chemistry zetu zimefanan yani tumezoeana.
Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19 flani hivi ambae kiukweli ni binti mwenye ufanisi mkubwa wa kuuza.
Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.
Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.
Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.
Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa ?
Kabisa hapa wanawake wengine wanamuonea gele. Mwanamke atahakikisha mambo yanaenda sawaRuka nae tu ndio atazidisha uaminifu atachukulia biashara kama ya baby wake hatakubali kukuletea hasara