Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

Ukishamla jua kua na yeye ni sehemu yako na hio biashara sio yako tena ila ni yenu. Nadhan unajua madhara ya biashara kuwa yenu na sio yako. Goodluck
 
kwa ulipofikia inabidi ule hiyo papuchi,halaf uwe na maamuzi ya mwanaume kamili asieyumba yumba kimaamuzi kisa machozi ya mwanamke,inabidi umtimue huyo bint ikiwa hajajipanga kivyovyote yaani kabla hajatia hasara yoyote unakua ushatafuta kijisababu cha kumtimua hapo dukani/ofisini kwako na hutakiwi kumuonea huruma kwa uamuzi wako huo ili kuepusha kipato chako kwenda na maji...ukinogewa na papuchi shauri yako maana utapewa yooote umwage hadi ubongo...na karibu ktk list ya wanaume ni mbwa
 

Yerewiiiiiiii duka lishafilisika tayari
 
Kitu kingine niunganishe hapa kuwa, tabia hizi ndio zinatuletea single mothers kibao mtaani. Mfano, huyo binti inawezekana ana mtu wake amabae wana malengo. Wewe na yy mmekutanishwa na biashara miezi miwili tu. Sasa inawezekana binti anawaza kabisa akitembea na wewe atakua sehemu yako na biashara itakua yenu, in short anaiona future hii hapa. So, anaanza kuwaza kumtosa jamaa yake ili awe nawe.

Wakati huo wewe kitendo cha kutuliza tu inamaanisha unataka kula na kumwacha maana ungekua na malengo nae usingetuuliza tukupe ushauri. Maana inaonesha wazi hofu yako ipo kwenye biashara yako tu na sio mustakabali wa huyo binti.

Sasa binti akiona kuna future anaweza kukutegeshea, mimba hii hapa na wewe huna mpango nae. Hujamwambia azae mtalea? Tayari umemfanya kuwa single mother kwenye umri wa 20y tu na ww single dady.

Wakuu kuweni makini na haya mambo. Binafi huwa inaniuma sana nikimuona binti mrembo na umri wa kuolewa kabisa ila ukimtokea unagundua ana mtoto yaan ni single mother. Wadada amkeni sana, ukishazaa soko lako linashuka kwa zaidi ya 50%.

Mwisho nakuomba usimle mkuu, nipe namba yake mm ntafuta mke wa kuoa nadhan atanifaa sana maana na mm nafanya biashara.

🤌🤌🤌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…