Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uoga vijana,sasa urushwe kichura kwa kosa gani ulilofanya hapo?Atarushwa kichurachura kutoka Magogoni mpaka Chalinze!
Pale magari hayaingii jombaa labda kuwe na function maalumu na yawe ya serikali au diplomaticbarua wanapokea fresh tu pale getini yaani hata ukiwa na mtu unamfahamu anafanya kazi pale ukaenda kumuona wanaasiliana naye na anaweza kuja pale getin (reception) ukaonana naye na mkaongea kabisa kuna hadi sehemu private ya kuongea hapohapo reception, kuna reception kubwa pale ina hadi masofa ya kukaa wageni. Walinzi wa pale getini kazi yao ni kuwa screen watu na magari tu na kuwaelekeza reception. ambapo ndipo wanapokea barua zote na kusikiliza shida ya mtu na kumshauri jinsi wanavyoona inafaa, Walinzi wa pale hawawezi kukuzuia labda wakubaini you are security threat
Ila pitia geti la huku juu wizara ya fedha sio kule baharini.
hiyo barua yako na uhakika rais itamfikia na ataisoma , ila kujibiwa inategemea na bahati yako manake anapokea barua nyingi sana za watu wenye ishu mbalimbali za kiofisi na kibinafsi .
Barua nyingi anazipeleka kwa wahusika wazishughulikie mf ma RC or KM. kama ni kuhusu malalamiko fulani
Amesahau nape alivyopiga mguu kwenda kuomba msamaha kwa JPM?Pale magari hayaingii jombaa labda kuwe na function maalumu na yawe ya serikali au diplomatic
Kumbe mda mwingine una akili mkuu mbona majukwaa ya michezo unazingua sn [emoji23]! Anyway huu ushauri unaweza fanikiwa japo inabidi ujitoe akili maana Kama unajidhalilisha flan iviMkuu vizia ziara za mama, akiwa aianongea jitokeze hadaharani mbele bila kuogopa kama umevurugwa.