Nataka nitumie mbinu hii kupata ajira

Barua zote zinafunguliwa na sekretary kabla ya kufika kwa boss, barua tusizofungua ni za personal, labda ningekuwa karibu nikuelekeze barua za Siri zinavyofungwa zipo za aina nne.
 
Barua itapokelewa na kusomwa vizuri tu.
Sema kujibiwa ndio itategemea na mheshimiwa kaamkaje siku hiyo.sio quarantee
 
Pale magari hayaingii jombaa labda kuwe na function maalumu na yawe ya serikali au diplomatic
 
Mkuu vizia ziara za mama, akiwa aianongea jitokeze hadaharani mbele bila kuogopa kama umevurugwa.
Kumbe mda mwingine una akili mkuu mbona majukwaa ya michezo unazingua sn [emoji23]! Anyway huu ushauri unaweza fanikiwa japo inabidi ujitoe akili maana Kama unajidhalilisha flan ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…