Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,630
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine.

Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo haijarudishwa.

Nimeandika Barua ya Complaint lakini naona hawana mpango wa kurejesha.

Naomba ushauri wa kisheria ili niweze kuwashitaki maana imeniletea isumbufu kwa mdai wangu na pia nimeshindwa kulipa ada ya mtoto shule.

Inaniletea mkazo mkubwa
 
Mkuu nchi yetu bado porin sana kwa wenzet inshu ka hiyo unawasho a haswa na unalipwa fidia



Fullstop, kwishaaa
 
Zitarudi kwa acc yako baada ya muda same happened to me. Kama hazijarudi nenda customer support ilipo acc yako.
 
Back
Top Bottom