Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote.
Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu vyote.
Hata Mungu alipotaka kumwadabisha Sauli yeye mwenyewe alitupa pepo wachafu.
Hii ni njia pekee ya kuwaondoa wadhalimu kwa sasa.