Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

Habar wakuu !!!

heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa sana sasa sijui nianzie wapi ?

SHARTI NATAKA NIWE MCHAWI MSOMI mchawi aliesomea principle zote za kichawi from beginning nimewah soma bandiko moja linasema shida sio uchawi shida ni unautumiaje mm nataka niitumie kwa faida tu na sio mambo ya ajabu au kukaririshwa vitu au maneno ambayo siyaelewi au kuchanjwa chale Na kupakwa dawa nisizozielewa naomba msaada

SITAKI UCHAWI WA DIZAINI HII
kutoa kafara binadamu wenzangu hata km sio ndugu zangu
kumtumikia shetani
kukufuru
kulazimisha kutamka au kufanya vitu nisivyovielewa
au kufanya jambo lolote lile baya litaloumiza wengine nk

NATAKA UCHAWI HUU
Kutoa kafara wanyama km mbuzi nk real mbuzi sio wafanye mazingaombwe mtu ageuzwe mbuzi
kumtumikia MUNGU
kuwekwa kila kitu wazi kuhusu maneno ishara nk
kuutumia uchawi kufanya maendeleo km kubuni vitu nk
uvumbuzi wa technolojia

asanteni
Hayo yoote yanawezekana kwa kuokoka! Wokovu utakuwezesha kutoa sandaka ya damu ya Yesu kuliko sandaka na kafara za upande wa shetani! Hapo usomi wako utakupa added advantage ya kusoma neno na kulitumia ipasavyo! Hila angalizo! Huenda ikakuchukua muda mrefu kufanikiwa kwasababu nguvu za Mungu zinajengwa katika msingi wa Haki! Itabidi ubomoe misingi ya uchumi na elimu uliyonayo iliyokufikisha hapo ndo ujenge msingi (iliyowekwa kwa neno la Mungu kupitia mitume na manabii) wa Mungu! Hapo ujue vita unavyotangaza sio vya kitoto! Utatengwa na ndugu, jamaa na marafiki! Njia zako za kipato zitakatwa! Utaanza kuishi kwa neema mpaka ujenge misingi sio leo! Kama utafanikiwa kujenga misingi watakaofaidika na ndoto za ushindi katika Kristo basi uenda ni watoto au wajukuu! Huu ndo ukweli whether you like it or not!
 
huo ndio uchawi siutaki mm nahitaji uchawi wa kuscan au ku X ray vitu ili nifanye uvumbuzi uchawi utakao niwezesha nifike popote dunian hata USA au AREA 51 maeneo ambayo binadamy haruhusiwi kukanyaga nk nia ni kuresearch ili nilete uvumbuzi in our real world kusaidia watu
Daaah 🤣 🤣🤣🤣
 
Habar wakuu !!!

heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa sana sasa sijui nianzie wapi ?

SHARTI NATAKA NIWE MCHAWI MSOMI mchawi aliesomea principle zote za kichawi from beginning nimewah soma bandiko moja linasema shida sio uchawi shida ni unautumiaje mm nataka niitumie kwa faida tu na sio mambo ya ajabu au kukaririshwa vitu au maneno ambayo siyaelewi au kuchanjwa chale Na kupakwa dawa nisizozielewa naomba msaada

SITAKI UCHAWI WA DIZAINI HII
kutoa kafara binadamu wenzangu hata km sio ndugu zangu
kumtumikia shetani
kukufuru
kulazimisha kutamka au kufanya vitu nisivyovielewa
au kufanya jambo lolote lile baya litaloumiza wengine nk

NATAKA UCHAWI HUU
Kutoa kafara wanyama km mbuzi nk real mbuzi sio wafanye mazingaombwe mtu ageuzwe mbuzi
kumtumikia MUNGU
kuwekwa kila kitu wazi kuhusu maneno ishara nk
kuutumia uchawi kufanya maendeleo km kubuni vitu nk
uvumbuzi wa technolojia

asanteni
Kwa bahati mbaya hakuna uchawi usiotoka kwa shetani. Kafara za mbuzi ni geresha tu, watu ndio hutolewa kafara. Unafikiri kama kungekuwepo na uchawi msafi na usio na shida kungekuwa na maskini dunia hii?
 
Hayo yoote yanawezekana kwa kuokoka! Wokovu utakuwezesha kutoa sandaka ya damu ya Yesu kuliko sandaka na kafara za upande wa shetani! Hapo usomi wako utakupa added advantage ya kusoma neno na kulitumia ipasavyo! Hila angalizo! Huenda ikakuchukua muda mrefu kufanikiwa kwasababu nguvu za Mungu zinajengwa katika msingi wa Haki! Itabidi ubomoe misingi ya uchumi na elimu uliyonayo iliyokufikisha hapo ndo ujenge msingi (iliyowekwa kwa neno la Mungu kupitia mitume ba manabii) wa Mungu! Hapo ujue vita unavyotangaza sio vya kitoto! Utatengwa na ndugu, jamaa na marafiki! Njia zako za kipato zitakatwa! Utaanza kuishi kwa neema mpaka ujenge misingi sio leo! Kama utafanikiwa kujenga misingi watakaofaidika na ndoto za ushindi katika Kristo basi uenda ni watoto au wajukuu! Huu ndo ukweli whether you like it or not!
Mkuu MUNGU ndo kaumba kila kitu sema tu binadamu huwa wanabadili matumizi mm naamin hata uchawi aliuumba yeye kumuwezesha binadamu kufanya BIG THINGS zipo simulizi zinadai wapo wachawi uko MISRI akina abramelini walikuwa na nguvu kiasi waliweza kupata maomo directly from GOD that is what i want to learn

ANGALIZO VIPO VITABU BAADHI VYA KICHAWI HURUHUSIWI KUSOMA UKIKISOMA NA KUKIELEWA LAZIMA UFE
 
Kwa bahati mbaya hakuna uchawi usiotoka kwa shetani. Kafara za mbuzi ni geresha tu, watu ndio hutolewa kafara. Unafikiri kama kungekuwepo na uchawi msafi na usio na shida kungekuwa na maskini dunia hii?
Km kweli vile lakini tusicomplex mambo ngoja tuchukue mifano hai lets says matajiri ni wachawi ? jibu ni sio wote
na mbona wapo watu wachawi lkn still they are poor WHY ???????? Dunia imebeba siri kubwa ninachoamini mm watu ni waoga wa kufikiri ndo maana nataka nikutane na mtu amesoma na anaujua uchawi deep down tujue one by one sitaki kuamin kuwa UCHAWI unatoka kwa SHETANI NOOOOOOOOO !!!!!!!!

IPO science ya kichawi na hii ni kupitia kuelewa NGUVU TULIZONAZO AS HUMANS MITI NA OTHER SOURCE
 
We can't speak about witchcraft or occult without start think Envy... Hakuna mchawi wa kiafrika mwenye roho nzuri.. hili tulijue kwanza unless awe nfanya mazingaombwe
Waganga pia ni wachawi why helps peoples shida sio uchawi shida unautumiaje ? mfano BANGI ni tiba ya kisaikolojia hasa kwa watu waliopata majanga ya kutisha but people change it
 
Km kweli vile lakini tusicomplex mambo ngoja tuchukue mifano hai lets says matajiri ni wachawi ? jibu ni sio wote
na mbona wapo watu wachawi lkn still they are poor WHY ???????? Dunia imebeba siri kubwa ninachoamini mm watu ni waoga wa kufikiri ndo maana nataka nikutane na mtu amesoma na anaujua uchawi deep down tujue one by one sitaki kuamin kuwa UCHAWI unatoka kwa SHETANI NOOOOOOOOO !!!!!!!!

IPO science ya kichawi na hii ni kupitia kuelewa NGUVU TULIZONAZO AS HUMANS MITI NA OTHER SOURCE
Kile kitabu cha Munga Tehenan cha UCHAWI ushakisoma?
 
Habar wakuu !!!

heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa sana sasa sijui nianzie wapi ?

SHARTI NATAKA NIWE MCHAWI MSOMI mchawi aliesomea principle zote za kichawi from beginning nimewah soma bandiko moja linasema shida sio uchawi shida ni unautumiaje mm nataka niitumie kwa faida tu na sio mambo ya ajabu au kukaririshwa vitu au maneno ambayo siyaelewi au kuchanjwa chale Na kupakwa dawa nisizozielewa naomba msaada

SITAKI UCHAWI WA DIZAINI HII
kutoa kafara binadamu wenzangu hata km sio ndugu zangu
kumtumikia shetani
kukufuru
kulazimisha kutamka au kufanya vitu nisivyovielewa
au kufanya jambo lolote lile baya litaloumiza wengine nk

NATAKA UCHAWI HUU
Kutoa kafara wanyama km mbuzi nk real mbuzi sio wafanye mazingaombwe mtu ageuzwe mbuzi
kumtumikia MUNGU
kuwekwa kila kitu wazi kuhusu maneno ishara nk
kuutumia uchawi kufanya maendeleo km kubuni vitu nk
uvumbuzi wa technolojia

asanteni
Yaani ufanye uchawi bila kumtumikia Shetani?
Mbona sijaelewa hapa
 
Kinahusiana na nini?
Ni uchawi in general. Jamaa ni kama alikuwa anaclarify uchawi ni nini.

So huyu mwamba kitamsaidia kujua hata hicho anachokitafuta haswa ni kipi.

Nataka nimshauri azitafute kanuni, aitafute sayansi yenyewe haina usumbufu kama uchawi.
 
UPDATESSSSSS !!!!!!!!!!!!
Sijui kwann most of people wanaamini uchawi ni kitu kibaya WHY mm naamin uchawi si shida shida unautumiaje Mshana Jr upo wapi nasubir neno moja kutoka kwako
Extrovert
Humu jf hakuna jukwaa na wachawi nenda peleka upuuzi wako huko huko pimbi weeeee!
 
Anhaa nakipata wapi?

Back
Top Bottom