Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

big point ayo ndio nsyotaks kujifunza ila sasa naanzia wap ? matapel weng
 
⁷
fantasy witchcraft naomba unipe link ya kuaminika nianzie hapo
 
Mshana Jr nasubir unipe link mkuu nianze kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu ila itakuwa poa katika huu uzi km ukitoa real example watu waamin uchawi upo na si lazima umtumikie shetani unaweza kuutumia kufanya mazuri
 
Mchawi msomi ni anayeweza kutimia vizuri programming languages, coding & ethical hacking
 
asante mkuu ila itakuwa poa katika huu uzi km ukitoa real example watu waamin uchawi upo na si lazima umtumikie shetani unaweza kuutumia kufanya mazuri
Watu wengine wanachekesha! Wanadhani uchawi ni mpaka uende kwa waganga wa kienyeji! Nikwambie kitu: mila na desturi ya jamii, koo, kabila mbalimbali ni uchawi tosha! Waulize wazee wa koo watakwambia! Unashirikishwa bila kujua kwa mazindiko na matambiko hata wewe kukuchukua au kuwapa mwana awe kiti cha enzi cha mazimu! Kama utafikiri natania tangaza umeokoka (japo huwezi kuokoka bila msaada wa Mungu). Hila nakwambia ukipata neema ya kuokoka ndo utajua na wewe ni mchawi (mwanga) na usiku unachukuliwa kuwangia watu! πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„
 
Waliookoka HAWAROGEKI, njo ujisajili.

Mganga na mchawi ni sawa na mtu na binamu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…