Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

Umelewa tone tone unaropoka tu kama Braza K.
 
Mwa


Mwanaume mzima unaombea mwanaume mwenzio afeli kweli?? Kuna uhusiano gani kati ya ujinga wako na Janabi???

Tafuta Cha kufanya ila Mungu akisema ndio basi hakuna wa kupinga
Mpumbavu wewe na CCM yako. Na atashindwa sasa!
 
Mimi pia nataka ashindwe ila sio kwa sababu zako
 
Hata kama ccm huwapendi basi usiwe na chuki iliyopitiliza mdau.
 
Mwa


Mwanaume mzima unaombea mwanaume mwenzio afeli kweli?? Kuna uhusiano gani kati ya ujinga wako na Janabi???

Tafuta Cha kufanya ila Mungu akisema ndio basi hakuna wa kupinga
Afanye kwa harakati zake, na si kuchukua pesa zetu za Nchi
 
Wewe ni Idiot first class
 
Kama ni wa CCM ashindwe tu
 
H
Kuna Roho mbaya zaidi ya kuchukua fedha za walalahoi kuwatafutia cheo watu wasiojali haki za walala hoi?
Uliwahi kumsikia wapi huyo bwana anaishauri serikali kutenda haki kwa walalahoi ambao anafuja pesa zao kujitafutia cheo?
Haya
 
Atashindwa tu. Hana vigezo.
 
Ashindwe mara ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…