Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

Pingapinga kazini
 
Hata hivyo janabi kaiharibu mhimbili kuliko kuiboresha
 
We mjinga unajiona mjanja kushabikia ufala wa matapeli walioko ccm! ACHA UPUMBAVU WA INZI KULA JALALANI HALAFU ANAJIFUTA MIKONO!
relax gentleman, changia hoja bila chuki, mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi
 
relax gentleman, changia hoja bila chuki, mihemko wala makasiriko na itapendeza zaidi
Sina chuki,natumia maneno makali ili uache ujinga wako! Maana unajifanya unajua sana halafu tukikuuliza maswali ya msingi unapita pembeni. ACHA UPUMBAVU.
 
akishindwa maisha yako yatakuwa bora? kuna wakati watanzania tuna roho mbaya sana.
 
Wapiga kura ni akina nani, viongozi wa nchi za Afrika au ni nani hasa? Maana naona anatembezwa ikulu zote Afrika.

Akishinda tunapata faida gani kama Taifa, kuna fursa za kujipendelea au upigaji?

Gharama za kumzungusha Afrika nzima ni gharama zake mgombea au za Taifa, ofisi ya rais zisizokaguliwa?

Akishindwa nani atafidia taifa gharama zinazotumika kumzungusha bara zima?
 
Tawire.
 
akishindwa maisha yako yatakuwa bora? kuna wakati watanzania tuna roho mbaya sana.
Nataka ashindwe na atashindwa. Samia kaharibu nchi na yeye atashindwa hila zake!
 
Sina chuki,natumia maneno makali ili uache ujinga wako! Maana unajifanya unajua sana halafu tukikuuliza maswali ya msingi unapita pembeni. ACHA UPUMBAVU.
calm down plz,
kuropoka hakusaidii gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…