Icheki movie inaitwa ADU, Mimi sio mpenzi wa movie za kuhuzunisha Ila hii ilibidi niicheki inawahusu watoto wawili ambao waliamua kutoroka kwao baada ya kuvamiwa na majambazi ( Hapa chanzo ilikua waliwaona majangili wakiua tembo Sasa madogo walikua na baiskeli katika kukimbia ikabidi waache baiskeli hapo ndio walipokosea)mama yao katika kuwatetea akapigwa risasi, madogo hawakuwa na namna ikabidi wasepe. mkubwa wa kike mdogo ni wa kiume.
Movie ina matukio mengi ya kuhuzunisha. Scene iliyonihuzunisha zaidi Ni pale dada wa Adu alipo kubali kupigwa na baridi ilimradi mdogo wake apate joto, dogo anakuja kushtuka dadaake ameshakufa, afu ukicheki walizamia kwenye ndege hapo daaah!! 😔😔
Mimi sio muandishi mzuri Ila unaweza kuicheki mwenyewe uitazame ndugu.