Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ile ya Wastara anapata ajali na kukatika mikono yote miwili na wazazi wake wanafariki anapata manyanyaso ya baba mkubwa ambae ndio anakaa na Wastara nyumba ambayo Wastara anaachiwa na wazee wake.Za kibongo...
-kuna Mwasu ya Liyama Ally
-family tears ya kanumba
Juzi mwanangu alilia. Lkn ina end nzuri. Sio kama boy in stripped pajamasSikujua kama zipo 3
Originally South Korea, then kuna ya Phillipine na Turkey mie nimeiona ya Turkey, nililia kwa kweli,
Miracle in the Cell no 7
Mkuu kuna movie sema nimeisahau jina lake. Ni movie ya kidini, kuna jamaa, mwanaume kama ana matatizo ya akili ila ana mtoto wa kike na mama yake(bibi yake mtoto). Kuna wakati atapelekwa jela kwa kusingiziwa kumuua mtoto wa jeneral wa jeshi. Katika jela atakutana na waislamu ambao wataishi naye vizuri na wakimsaidia kutoka jela.
Note; Movie ya kikristo.
Hivi kama shida ni chozi tu au kuna lingine?
Kama naikumbuka hiviKuna movie flani ya kinaigeria ya zamani
Jamaa alikua na wake wawili, na alikua ana pesa sasa mke mkubwa akawa na mambo ya uchawi sana akamloga mtoto wa mke mdogo akawa kipofu
Yule mtoto akaja kupona akiwa mtu mzima sana mwishoni baada ya kuombewa
Yule mama yake mtoto kipofu alifariki sasa mtoto kipofu akawa anateswa sana
Ile movie mnaweza mkalia nyumba nzima
Mke mdogo ndio alikuwa ana mambo ya uchawi akamroga mke mkubwa na walikuwa marafiki mwanzo ata kuolewa kwake(mke mdogo) ni mke mkubwa ndio alimuomba Mme wake amuoe rafiki yake ili awe mke mwenzake baada ya kuona rafiki yake haolewi Inaitwa hour of graceKuna movie flani ya kinaigeria ya zamani
Jamaa alikua na wake wawili, na alikua ana pesa sasa mke mkubwa akawa na mambo ya uchawi sana akamloga mtoto wa mke mdogo akawa kipofu
Yule mtoto akaja kupona akiwa mtu mzima sana mwishoni baada ya kuombewa
Yule mama yake mtoto kipofu alifariki sasa mtoto kipofu akawa anateswa sana
Ile movie mnaweza mkalia nyumba nzima
UKIWA (ni bongo movie)Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
Inaitwa cell no 7 kama sikoseiMkuu kuna movie sema nimeisahau jina lake. Ni movie ya kidini, kuna jamaa, mwanaume kama ana matatizo ya akili ila ana mtoto wa kike na mama yake(bibi yake mtoto). Kuna wakati atapelekwa jela kwa kusingiziwa kumuua mtoto wa jeneral wa jeshi. Katika jela atakutana na waislamu ambao wataishi naye vizuri na wakimsaidia kutoka jela.
Note; Movie ya kikristo.
Bro nilibishana sana na workmates kuwa hakuna movie itakayobeba hisia zangu mpaka nilie, lakini hii movie ilinitoa machozi. Sijawahi ona upendo kama ule wa mbwa kwa mtunzi wake.Nyingine ya Kijapan ya "Hachiko-a dog's Tale."
Based on true events
We jamaa umetisha Kwa hii list. Hii A walk to remember ilinitoa chozi itabidi niirudie niliiona kitambo kweliForrest Gump (1994)
Blue Valentine (2010)
The Pursuit of Happyness (2006)
A Walk to Remember (2002)
Beaches (1988)
The Notebook (2004)
Mr. Holland's Opus (1996)
The Joy Luck Club (1993)
The Fault in Our Stars (2014)
The Hate U Give (2018)
Lion (2016)
Marley & Me (2018)
My Girl (1991)
A Star Is Born (2018)
If Beale Street Could Talk (2018)
Fruitvale Station (2013)
Hii ya ukweli sana yule mwanamke anapigwa mawe hadi kufa kwa kosa la kusingiziwa, dah same time hizi sheria za kidini zinazingua kichizi.The stoning of Soraya.....
Tunasubiri alete mrejesho!Natumae mleta mada ulipata muongozo...