msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
365 daysYaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
365 daysYaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
Wewe jamaa365 days
Mwasu atamwaga chozi hadi ndoo ijae. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za kibongo...
-kuna Mwasu ya Liyama Ally
-family tears ya kanumba
Red ValentineKwa bongo movie kuna movie wema na kanumba wameigiza kanumba akiwa malaya coz wema alikuwa hazai, jamaa alikuwa anampiga balaaa mwisho wasiku kanumba akabambikiwa mtoto na dem wa nje baadae akagundua yeye ndo hana uzazi ila huku wema mjamzito ss badala yake ukazuka ugimvi mpya wa mimba ya nani ila mwisho mimba ilikuwa ya kanumba
The green mile
Shawshank redemption
Link tafadhaliAMANDRA: Movie ya South Africans
Hii sasa si ndo mpaka atulie mana watu anataka alazimishe machozi ila hii movie ina kupa goosebumps hadi sio poa nimeipenda hiiKuna movie nyingi sana zimenitoa chozi bila kupenda nimezisahau majina, jaribu silvertion siege ya kiuanarakati za south Afrika.
Pia kuna tere naam ya salam khan aisee hii movie ingawa nlikua mdgo lakin ilinitoa machozi aiseeinaitwa BAJRANGI BHAIJAAN
inaumiza mwishon anapo pona alaf anakuta mtu alitefunga kumuombea ili apone amekufaPia kuna tere naam ya salam khan aisee hii movie ingawa nlikua mdgo lakin ilinitoa machozi aisee
JANWAAR bonge la movie hata ukirudia leo lazima ulie.Janwaar ya Akshay Kumar.
Na ile ya Salman Khan na mtoto BUBU.nimesahau jina lake.
Miracle in Cell number 7.Mkuu kuna movie sema nimeisahau jina lake. Ni movie ya kidini, kuna jamaa, mwanaume kama ana matatizo ya akili ila ana mtoto wa kike na mama yake(bibi yake mtoto). Kuna wakati atapelekwa jela kwa kusingiziwa kumuua mtoto wa jeneral wa jeshi. Katika jela atakutana na waislamu ambao wataishi naye vizuri na wakimsaidia kutoka jela.
Note; Movie ya kikristo.
Juzi nimeangalia the Guilty.Forrest Gump (1994)
Blue Valentine (2010)
The Pursuit of Happyness (2006)
A Walk to Remember (2002)
Beaches (1988)
The Notebook (2004)
Mr. Holland's Opus (1996)
The Joy Luck Club (1993)
The Fault in Our Stars (2014)
The Hate U Give (2018)
Lion (2016)
Marley & Me (2018)
My Girl (1991)
A Star Is Born (2018)
If Beale Street Could Talk (2018)
Fruitvale Station (2013)