Nataka single movie ya kunitoa machozi

Red Valentine
 
Forrest Gump (1994)
Blue Valentine (2010)
The Pursuit of Happyness (2006)
A Walk to Remember (2002)
Beaches (1988)
The Notebook (2004)
Mr. Holland's Opus (1996)
The Joy Luck Club (1993)
The Fault in Our Stars (2014)
The Hate U Give (2018)
Lion (2016)
Marley & Me (2018)
My Girl (1991)
A Star Is Born (2018)
If Beale Street Could Talk (2018)
Fruitvale Station (2013)
 
Kuna movie nyingi sana zimenitoa chozi bila kupenda nimezisahau majina, jaribu silvertion siege ya kiuanarakati za south Afrika.
Hii sasa si ndo mpaka atulie mana watu anataka alazimishe machozi ila hii movie ina kupa goosebumps hadi sio poa nimeipenda hii
 
Tafuta movie ya Devdas wameact Shah Rukh Khan, Madhuri na Aishwarya.

Kiufupi jamaa alitaka kumuoa binti wa jirani (Aishwarya) lakini wazee wake walikataa kabisa kwa kuwa mwanaume alikuwa anatoka jamii ya hadhi ya juu kuliko mwanamke. Basi hapo ndiyo ikawa kisanga jamaa akawa mlevi na akapata 'courtesan' ambaye alimpenda sana lakini yeye hakurudisha mapenzi.

Jamaa aliendelea na ulevi wake huku anamkumbuka yule mpenzi wake wa utotoni mpaka akafa kabisa.
 
Jungle, kaigiza yule jamaa wa kwenye Harry Porter,
FreeHeld, hii ni Lesbian Movie

Hizo zote ni True Events jiandae kulia
 
Hachiko: A Dog's Story, Miracle in Cell No.7(Turkish version)
 
Miracle in Cell number 7.

The boy in stripped pajamas
 
Juzi nimeangalia the Guilty.

Iweke kwenye list pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…