Nataka single movie ya kunitoa machozi

Za kibongo...

-kuna Mwasu ya Liyama Ally

-family tears ya kanumba
Kuna ile ya Wastara anapata ajali na kukatika mikono yote miwili na wazazi wake wanafariki anapata manyanyaso ya baba mkubwa ambae ndio anakaa na Wastara nyumba ambayo Wastara anaachiwa na wazee wake.

Yaani yule baba anavomnyanyasa Wastara. Haki laziim ulie. Na Wastara anavyojua kuigiza scene za Kulia basi utasema haigizi
 
Sikujua kama zipo 3
Originally South Korea, then kuna ya Phillipine na Turkey mie nimeiona ya Turkey, nililia kwa kweli,

Miracle in the Cell no 7
Juzi mwanangu alilia. Lkn ina end nzuri. Sio kama boy in stripped pajamas
 

Miracle in CELL NO. 07
 
Kuna movie flani ya kinaigeria ya zamani

Jamaa alikua na wake wawili, na alikua ana pesa sasa mke mkubwa akawa na mambo ya uchawi sana akamloga mtoto wa mke mdogo akawa kipofu

Yule mtoto akaja kupona akiwa mtu mzima sana mwishoni baada ya kuombewa

Yule mama yake mtoto kipofu alifariki sasa mtoto kipofu akawa anateswa sana

Ile movie mnaweza mkalia nyumba nzima
 
Kama naikumbuka hivi
 
Mke mdogo ndio alikuwa ana mambo ya uchawi akamroga mke mkubwa na walikuwa marafiki mwanzo ata kuolewa kwake(mke mdogo) ni mke mkubwa ndio alimuomba Mme wake amuoe rafiki yake ili awe mke mwenzake baada ya kuona rafiki yake haolewi Inaitwa hour of grace
 
Inaitwa cell no 7 kama sikosei
 
Nyingine ya Kijapan ya "Hachiko-a dog's Tale."

Based on true events
Bro nilibishana sana na workmates kuwa hakuna movie itakayobeba hisia zangu mpaka nilie, lakini hii movie ilinitoa machozi. Sijawahi ona upendo kama ule wa mbwa kwa mtunzi wake.
Naskia sanamu ya yule mbwa ipo mpaka leo pale railway station.
 
Govinda na yaya 😁

Kuna movie ya jackie chan inaitwa robin b hood kuna scene anafukuzwa kwao na baba yake inahuzunisha kinyama
 
We jamaa umetisha Kwa hii list. Hii A walk to remember ilinitoa chozi itabidi niirudie niliiona kitambo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…