Nataka ujinga kwani mimi?

Nataka ujinga kwani mimi?

Lakini kumbukeni pia soudy brown si mtu wa mchezo mchezo [emoji848]
 
Nimeutunga mm,maana spendagi ujinga kabisaaaaa
 
Kuna jini sijui ndo maimuna huwa anatabia ya kunivizia nmelala anakuja kusex na mm ndotoni
sasa nmemkomesha nmemtia mimba afu sijalala nna wiki mbili sasa nakesha tu najua anantafta
mwambieni akaitoe tu mi silali ng'ooo
mi sio mtu wa mchezomchezo...

sipendagi ujinga
 
[emoji23][emoji23]jamani
 
Back
Top Bottom